Mh Freeman Mbowe leo anaendelea na kampeni kwenye kata ya Rundugai , licha ya jana kudhalilishwa na OCD ambaye ni Mkuu wa Polisi Wilaya ya Hai aliyeshindwa kuzuia mapenzi yake kwa Chama chake cha CCM
=======
ICC na vyombo vingine vya uchunguzi tayari wanayo list ya Polisiccm wote wanaoshiriki vitendo vya hovyo kuwanyanyasa wapinzani kuanzia OCD wa Tunduma mbeya mpaka huko hai mara baada ya uchaguzi mkuu wote watafikishwa ICC akiwemo IGP mwenyewe.
Wanatetea chama ambacho akijali maslai yao 5 yrs Hakuna nyongeza za mishahara, kikotoo, ukistaafu kupata pension yako tu ni Kazi kuliko hata kutafuta kazi,kula tu ni Hadi mke auze vitumbua.
Wanaume wazima wanatumika hovyo kwa maslai ya mwanaume mwenzako tena apitae.
Saluti upunguza uwezo wa kufikiri vyema