Hata Bokoharamu walianza kwa mzaa mzaa kama TFF. Uonevu huleta chuki katika jamii

Hata Bokoharamu walianza kwa mzaa mzaa kama TFF. Uonevu huleta chuki katika jamii

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Hawa wanaojiita Tff unaweza kuwadharau. Kumbe uonevu umezalisha chuki

FB_IMG_1772028591450.jpg
 
Endeleeni kubweka mkiwa mmejificha huko kenya mkiingia Tz na huo ujinga wenu wa tff sijui fifa uchwara mtakacho kutana nacho ni kupigwa risasi mama zenu waende wakatambae mbele ya camera za Millard Ayo waseme mnaonewa.

Hakuna huruma kwa nyumbu.
 
Hawa wanaojiita Tff unaweza kuwadharau. Kumbe uonevu umezalisha chuki

View attachment 3548558
Inasikitisha sana.

Mtu unaleta mada hata hujui kabisa unachozungumzia!

Huwezi kutofautisha kati ya "Boko Haram", na kwa mfano Umkonto we Sizwe (au huwajui hao ni akina nani))?

Unawaita TFF, kundi la uhalifu; uhalifu dhidi ya nani, watawala haramu?

Kukataa kutawaliwa kwa mabavu inakuwa uhalifu?
 
Endeleeni kubweka mkiwa mmejificha huko kenya mkiingia Tz na huo ujinga wenu wa tff sijui fifa uchwara mtakacho kutana nacho ni kupigwa risasi mama zenu waende wakatambae mbele ya camera za Millard Ayo waseme mnaonewa.

Hakuna huruma kwa nyumbu.
Unaanduka huku ukiteyemeka, kwa nini!

Wewe unadhani hivi vimipasho unavyojaza humu ndivyo vitakavyowasalimisha?

Wahalifu wote, kuanzia kwa Samia Suluhu Hassan, hadi kwa nguruwe kama wewe ni lazima muwajibishwe kwa uovu wenu kwa waTanzania.
 
Inasikitisha sana.

Mtu unaleta mada hata hujui kabisa unachozungumzia!

Huwezi kutofautisha kati ya "Boko Haram", na kwa mfano Umkonto we Sizwe (au huwajui hao ni akina nani))?

Unawaita TFF, kundi la uhalifu; uhalifu dhidi ya nani, watawala haramu?

Kukataa kutawaliwa kwa mabavu inakuwa uhalifu?
Uzuri naelewa uwezo wako wa kuelewa
 
Inasikitisha sana vijana wasiojielewa wanavyohangaika kutuharibia amani Tz. Uzuri trela waliiona na ninauhakika movie wanaiogopa.
 
Mtu unabwatuka ukiwa kibera,
Kumbe ile show ya muda mfupi hamkuielewa, njoon na huo ujinga wenu tena
 
Uzuri naelewa uwezo wako wa kuelewa
Hii siyo mara ya kwanza. Unaweka mada, pengine ukiwa na lengo zuri, lakini uwezo wa kuinyoosha ikae kama ulivyonuia iwe unakushinda.

Kwa kigezo chochote kile wewe huna uwezo wa kuhoji uelewa wangu.

Huwezi kamwe kulinganisha kundi la watu wanaopigana kuiokoa nchi yao toka mikononi mwa waovu hawa na kundi la magaidi kama BOKO HARAMU; halafu ukajitaidi kuwa unao uelewa wa jambo unalolizungumzia!
 
Back
Top Bottom