Hata CHADEMA wapo, kwani Katambi si wao? Hivi Dr Mashinji je? Yaani hata wao wanamapoyoyo wasitutishe bhana!

Hata CHADEMA wapo, kwani Katambi si wao? Hivi Dr Mashinji je? Yaani hata wao wanamapoyoyo wasitutishe bhana!

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Nikiona Katambi Mimi simwoni kama mwanaccm, kamwe huyu ni zao la mbowe,

Najiuliza hata Dr Mashinji kweli au wakina lijualikali HAYA ni maproduct ya mbowe na heche.
 
Chadema inatenganisha mchele na chuya .
Katambi,Mashimbi,Bulaya,Matiko, Kitila ,Lijualikali nk ni chuya tumewaachia Fisiemu
 
Back
Top Bottom