Uchaguzi 2020 Hata CHADEMA wasiposhirikiana na ACT-Wazalendo, bado CCM itapigwa chini. Membe na Lissu “watakula vichwa vingi” vya wanachama wa CCM

Hapo kwenye ccm kutoka ICU ndipo sikubaliani na wewe hata kidogo.
 
Wasilojua ujuaji wao wa kipambavu ndiyo mtaji wa CCM.
 
Nyie baada ya uchaguzi uwa hamuonekani. Tangu lini hujasoma halafu unategemea kushinda mtihani? CCM siyo chama bora lakini upinzani bunch of useless people. Tanzania bado ina safari ndefu sana.
 
Nyie baada ya uchaguzi uwa hamuonekani. Tangu lini hujasoma halafu unategemea kushinda mtihani? CCM siyo chama bora lakini upinzani bunch of useless people. Tanzania bado ina safari ndefu sana.
Unafahamu ambao hawaonekani baada ya uchaguzi?
 
Wakati mwingine jf huwa siwaelewi. Wanaongea humu wana elimu gani. Maana mtu kusema CCM itapigwa mwaka huu napata mashaka juu ya uelewa. A simple logic, chadema ina wabunge wangapi hadi kabla ya kuvunjwa kwa bunge la awamu ya tano? Act nayo hali ikoje. Ninachokitarajia ni kwamba mwaka huu vyama pinzani vijipange kurudisha idadi Yao kubwa ya wabunge. Huwezi tegemea kushinda uraisi wakati wabunge ulio nao ni wachache. Wasomi wa jf zungumzeni ukweli acheni unafiki
 
Waungane Wasiungane, Bado kipigo cha mbwa Koko kipo pale pale!!

JPM 80% huu ndio ukweli mchungu
 
Bila ushiriakiano, mapema wanagawana kura, CCM anashinda. Tatizo lao, ni tamaa, bila kuunguna wameumia na kupoteza nguvu bure.
 
Bila ushiriakiano, mapema wanagawana kura, CCM anashinda. Tatizo lao, ni tamaa, bila kuunguna wameumia na kupoteza nguvu bure.
Ushirikiano ukiwepo kwenye ngazi za chini kama ubunge na udiwani washirikiane.

Kwenye nafasi ya urais ni suala la timing.
 
Ushirikiano ukiwepo kwenye ngazi za chini kama ubunge na udiwani washirikiane.

Kwenye nafasi ya urais ni suala la timing.

Kwenye urais wanapaswa kusoma alama za nyakati na approval ratings mpaka kwenye wiki mbili au moja na nusu before uchaguzi, then wanaweza campaign kwa pamoja kwa mtu mmoja mwenye nguvu.
 
Ikiwa hivi hivi ni magufuli na membe ndio watagawana kura lkn LISSU atapata kura nyingi za watz
 
Cheka tu lakini tumekuwa tukiwachora humu ndani toka '10, '15 na '20 utakuwa mchezo uleule hadi akili zenu zikomae.
Watu tumo humu toka ni Jambo Forums.😃
 
Kwenye urais wanapaswa kusoma alama za nyakati na approval ratings mpaka kwenye wiki mbili au moja na nusu before uchaguzi, then wanaweza campaign kwa pamoja kwa mtu mmoja mwenye nguvu.
Very well said!🙏🏾👍🏽
 
Enzi hizo sikuwa member lakini nilikuwa nacheki tu.
Hata mimi, nikajiunga 2007. Hata forum hii kwani ingekuwa uwezo wa boss wako si ingeshafungiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…