Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,830
- 6,315
Bosi wangu tena? Sina chuki na CCM wala vyama vya upinzani bali nakereka jinsi tulivyokuwa na upungufu wa viongozi wazuri toka vyama vyote na inasikitisha kuona watu wenye uwezo wa kuendesha nchi wanavyokimbia siasa na kuwachia washamba na arrogant people wakichukua madaraka ndani ya serikali na vyama vya siasa.Hata mimi, nikajiunga 2007. Hata forum hii kwani ingekuwa uwezo wa boss wako si ingeshafungiwa?
ushafikia “ad hominem” very quickly towards the bottom! You have actually bypassed a lot. Who is dumb?🤦🏾♂️
View attachment 1505670
[/QUOTE
Yote sawa ila kama huna hela we f*ra tu.
Kwanini umetumia muda wote huo kuelezea kitu kitu kisichofaa? Unaogopa inawezekana usieleweke?Jamani huyu mwanzishaji uzi anaumwa tena kichaa kimekuwa sugu, amekuwa akiandika mara Kiingereza mara nne na mada ndefu sana lakini ndani upupu tu. Mnaomjibu mnapoteza time na mnafail sana
Nimekupata kiongozi!🙏🏾Bosi wangu tena? Sina chuki na CCM wala vyama vya upinzani bali nakereka jinsi tulivyokuwa na upungufu wa viongozi wazuri toka vyama vyote na inasikitisha kuona watu wenye uwezo wa kuendesha nchi wanavyokimbia siasa na kuwachia washamba na arrogant people wakichukua madaraka ndani ya serikali na vyama vya siasa.
Lazima mkuu! Kama kukiwepo na dalili kidogo tu za uchaguzi huru, siyo siri ccm itameguka kabla hata ya uchaguzi mkuu. Wait and see!
Duh! ccm bila polisi na tume ya uchaguzi si lolote si chochote mkuuWhy are you building castles in the air? CCM kuondolewa madarakani ni ndoto za mchana(day dreaming! Kama CCM 2015 haikuwepo lakini Rais Dr Magufuli alishinda sembuse wakati huu ambapo CCM upo hai?CCM imeshafufuliwa na Magufuli.