Mkuu acha kulala hili ni jambo la watu wote, diploma wao pia wametolewa kupitia tovuti ya nacte na wao pia wanatakiwa kujaza kozi mpya ingawa wao wanaweza kujaza kozi tano upya. Kwa msaada zaidi fungua e-mail yako (sio profile yako) ndio utapata ufafanuzi. Kama jina lako lipo hapa chukua hatua.
Diploma not selected