Hata hiki kifungu cha 123 UAE Constitution Majaji hawakukiona?

SOMA MWENYEWE

Article 123
As an exception to paragraph 1 of Article 120 concerning the exclusive jurisdiction of the Union in matters of foreign policy and international relations, the member Emirates of the Union may conclude limited agreements of a local and administrative nature with the neighbouring states or regions, save that such agreements are not inconsistent with the interests of the Union or with Union laws and provided that the Supreme Council of the Union is informed in advance.

If the Council objects to the conclusion of such agreements, it shall be obligatory to suspend the matter until the Union Court has ruled on that objection as early as possible. The Emirates may retain their membership in the OPEC organisation and the Organisation of Arab Petroleum Exporting Countries or may join them.

DUNSTAN B. N URU
JUDGE
10/08/2023
MUSTAFA K. ISMAIL
JUDGE
10/08/2023
ABDI S. KAG
JUDGE
10/08/2023
Hatuna mahakama Tanzania. Ndio maana Rostam akisema mahakama za Tanzania ni kupigiwa simu halafu zinatoa maamuzi. Hii kesi ingekuwa Kenya ingekuwa Dili kubwa Sana. Ila hapa kwetu majaji ni vilaza wanategemea tumbo kifikiri.
 
Mahakama inaposema imetia shaka,maana yake wewe uliyeleta malalamiko ndie uliyekua na jukumu la kuiondoa hiyo shaka na haukufanya hivyo na mahakama ilisema hakuna sheria iliyoletwa mahakamani na mlalamikaji inayoonyesha kwamba DUBAI inazuiwa kuingia mkataba na nchi nyingine.
Kitendo Cha mahakama kusema kimetia shaka, haizii mahakama Kuja na sheria yake. Ila Kuna vitu mlalamikaji hata pewa na mahakama maana imemsaidia.
 
Hongera kwa kuwa msomi na muelewa zaidi yao!
Majaji wa Tanzania sio wasomi. Bali wameokotwa wenye uchawa na CCM. Refer Jaji mkuu wa zamani Augustine alivopiga chenga issue ya mgombea binafsi. Baadae ikagundulika kumbe ni kada wa CCM na alikuwa analipia kadi na mpaka akagombea urais. So hao majaji wametoa uamuzi wa kumfurahisha Rais ila sio uamuzi wa haki.
 
Sijui Majaji wa Kenya wanasoma Vyuo gani! Hawa wa hapa Kwetu kuwatofautisha na wanasiasa ni ngumu sana!

Eti hawawezi kuingilia Bunge! Kwahiyo ni ruksa Bunge hata kuvunja katiba yetu!

Nchi hii bado sana!

Mimi nadhani kama ndivyo mihimili ya Bunge na Mahakama ifutwe tubaki na Serikali.

Atakachoona Rais na Chawa wake kinafaa basi hicho ndo kifuatwe!
Nchi ya ajabu sana hii, Majudge hawawezi kuingilia Bunge wakati kazi ya Bunge ni kutunga, kubadilisha na kuvunja sheria

Wanasheria wa Tanzania ni HOVYOO⁶
 
Sijui Majaji wa Kenya wanasoma Vyuo gani! Hawa wa hapa Kwetu kuwatofautisha na wanasiasa ni ngumu sana!

Eti hawawezi kuingilia Bunge! Kwahiyo ni ruksa Bunge hata kuvunja katiba yetu!

Nchi hii bado sana!

Mimi nadhani kama ndivyo mihimili ya Bunge na Mahakama ifutwe tubaki na Serikali.

Atakachoona Rais na Chawa wake kinafaa basi hicho ndo kifuatwe!
Kweli inasikitisha sana kwa kauli kama hiyo ya kusema hutuwezi kuingilia Bunge.
Lweli???!
 
Sijui Majaji wa Kenya wanasoma Vyuo gani! Hawa wa hapa Kwetu kuwatofautisha na wanasiasa ni ngumu sana!

Eti hawawezi kuingilia Bunge! Kwahiyo ni ruksa Bunge hata kuvunja katiba yetu!

Nchi hii bado sana!

Mimi nadhani kama ndivyo mihimili ya Bunge na Mahakama ifutwe tubaki na Serikali.

Atakachoona Rais na Chawa wake kinafaa basi hicho ndo kifuatwe!
Kenya wana katiba inayotoa mamlaka kweny mihimili yote mitatu. Huku katiba ni ya kifalme!!
 
Hii imekaa poa, maana itatuondolea kelele na ujuaji mwingi humu.
 
Kenya wana katiba inayotoa mamlaka kweny mihimili yote mitatu. Huku katiba ni ya kifalme!!
Umenena !! Watu wengi humu jf wanajifanya wajuaji sana wa sheria lakini wameshindwa kugundua hichi ulichokiandika hapo !! Ambacho ndio source ya kile wanachokiona wao kwamba hakiko sawa !!

Mtu anaweza akasoma sana na madigirii mengi lakini akili ya kuchanganua mambo ikawa ni sifuri !! 🙏🙏
 
Kbs ✔️
 
SOMA MWENYEWE

Article 123
As an exception to paragraph 1 of Article 120 concerning the exclusive jurisdiction of the Union in matters of foreign policy and international relations, the member Emirates of the Union may conclude limited agreements of a local and administrative nature with the neighbouring states or regions, save that such agreements are not inconsistent with the interests of the Union or with Union laws and provided that the Supreme Council of the Union is informed in advance.

If the Council objects to the conclusion of such agreements, it shall be obligatory to suspend the matter until the Union Court has ruled on that objection as early as possible. The Emirates may retain their membership in the OPEC organisation and the Organisation of Arab Petroleum Exporting Countries or may join them.

DUNSTAN B. N URU
JUDGE
10/08/2023
MUSTAFA K. ISMAIL
JUDGE
10/08/2023
ABDI S. KAG
JUDGE
10/08/2023
Huwezi kuishitaki IGA kwenye mahakama yako ya nyumbani, utazishitaki sheria zako tu nyumbani kwako.

Wala huwezi kutafsiri katiba ya mtu mahakamani kwako, kama una tatizo unaenda mahakama husika za Kimataifa.

Upo hapo ulipo?
 
IGA iko juu ya katiba yetu au vipi?

Kwamba Serikali ikiingia IGA kuwa Watanzania 10,000 wawe wanauzwa utumwani katika nchi X kila mwaka basi Mahakama ya Tanzania haiwezi kuzuia hicho kitu au vipi?
 
Huwezi kuishitaki IGA kwenye mahakama yako ya nyumbani, utazishitaki sheria zako tu nyumbani kwako.

Wala huwezi kutafsiri katiba ya mtu mahakamani kwako, kama una tatizo unaenda mahakama husika za Kimataifa.

Upo hapo ulipo?
Ndivyo mnavyodanganyana, kafanye more research. Mimi nimeshamaliza ya kwangu
 
Back
Top Bottom