Hata hiki kifungu cha 123 UAE Constitution Majaji hawakukiona?

Hatuna mahakama Tanzania. Ndio maana Rostam akisema mahakama za Tanzania ni kupigiwa simu halafu zinatoa maamuzi. Hii kesi ingekuwa Kenya ingekuwa Dili kubwa Sana. Ila hapa kwetu majaji ni vilaza wanategemea tumbo kifikiri.
 
Kitendo Cha mahakama kusema kimetia shaka, haizii mahakama Kuja na sheria yake. Ila Kuna vitu mlalamikaji hata pewa na mahakama maana imemsaidia.
 
Hongera kwa kuwa msomi na muelewa zaidi yao!
Majaji wa Tanzania sio wasomi. Bali wameokotwa wenye uchawa na CCM. Refer Jaji mkuu wa zamani Augustine alivopiga chenga issue ya mgombea binafsi. Baadae ikagundulika kumbe ni kada wa CCM na alikuwa analipia kadi na mpaka akagombea urais. So hao majaji wametoa uamuzi wa kumfurahisha Rais ila sio uamuzi wa haki.
 
Nchi ya ajabu sana hii, Majudge hawawezi kuingilia Bunge wakati kazi ya Bunge ni kutunga, kubadilisha na kuvunja sheria

Wanasheria wa Tanzania ni HOVYOO⁢
 
Kweli inasikitisha sana kwa kauli kama hiyo ya kusema hutuwezi kuingilia Bunge.
Lweli???!
 
Kenya wana katiba inayotoa mamlaka kweny mihimili yote mitatu. Huku katiba ni ya kifalme!!
 
Hii imekaa poa, maana itatuondolea kelele na ujuaji mwingi humu.
 
Kenya wana katiba inayotoa mamlaka kweny mihimili yote mitatu. Huku katiba ni ya kifalme!!
Umenena !! Watu wengi humu jf wanajifanya wajuaji sana wa sheria lakini wameshindwa kugundua hichi ulichokiandika hapo !! Ambacho ndio source ya kile wanachokiona wao kwamba hakiko sawa !!

Mtu anaweza akasoma sana na madigirii mengi lakini akili ya kuchanganua mambo ikawa ni sifuri !! πŸ™πŸ™
 
Kbs βœ”οΈ
 
Huwezi kuishitaki IGA kwenye mahakama yako ya nyumbani, utazishitaki sheria zako tu nyumbani kwako.

Wala huwezi kutafsiri katiba ya mtu mahakamani kwako, kama una tatizo unaenda mahakama husika za Kimataifa.

Upo hapo ulipo?
 
IGA iko juu ya katiba yetu au vipi?

Kwamba Serikali ikiingia IGA kuwa Watanzania 10,000 wawe wanauzwa utumwani katika nchi X kila mwaka basi Mahakama ya Tanzania haiwezi kuzuia hicho kitu au vipi?
 
Huwezi kuishitaki IGA kwenye mahakama yako ya nyumbani, utazishitaki sheria zako tu nyumbani kwako.

Wala huwezi kutafsiri katiba ya mtu mahakamani kwako, kama una tatizo unaenda mahakama husika za Kimataifa.

Upo hapo ulipo?
Ndivyo mnavyodanganyana, kafanye more research. Mimi nimeshamaliza ya kwangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…