Umefikiria jambo kubwa saana.
Wape elimu mashosti ikiwezekana zile pesa zenu za mzunguko, mzunguko mmoja mchukue extinguisher muiweke kwenye corridor.
Sikuhizi katika nyumba za kupanga yale majiko ya mkaa yaliyopanga foleni kwenye corridor yamepungua, sikuhizi wengi wanapikia gas, yale mashauzi ya kuchungulia mama Sophia anapikaje chapati si kama yale ya zamani, mama Sophia na mama Irene wanapikia chapati na pilau vyumbani mwao.
Kitu ninachojiuliza ni kuwa, ni wenye nyumba wangapi wanakupumbuka kuweka fire extinguisher? Fikiria ni familia nne zinaishi nyumba moja na kila moja ina mtungi wa gas chumbani haya ni mabomu kama hayatatumiwa kwa tahadhari.
Hembu tulitafakari hili.
Mkuu nimezungumzia ninakokujua kumbe hata wa Masaki hawazingatii haya? Ni kheri Fire Brigadier waelimeshe watu, haya yanaweza kufanyika kwenye TV, radio na magazeti.Nafikiri ungejumuisha vifaa vyote vya kuzimia moto ikiwemo blanketi la moto (fire blanket). Halafu sio kwa mtogole tu hata kule Masaki sidhani kama hivi vifaa wanavyo.
Nyumbani kwako unavyo? Kwangu sina ila hilo wazo limekuwepo na sasa nitalitekeleza.
Yah ndiyo niliuliza ni wamiliki wangapi wanalitafakari hili swala?Fire hazards and prevention kwenye nyumba za kupanga zote linatakiwa lianzie kwa mmiliki...
Jukumu la kuhakikisha usalama wa nyumba na majanga kama moto linatakiwa lianzie kwa mmiliki, then wapangaji wanapewa maelekezo au maagizo watekeleze...
Ingawa mpanjapi unaweza kujinunulia hiyo fire extinguisher ukajiwekea...
Cc: mahondaw
Wameliki wanaelewa sana hayo mambo... Tatizo linakuja kwenye maintenance na training kwa wapangaji endapo wakiamua kufanya hivyo...Yah ndiyo niliuliza ni wamiliki wangapi wanalitafakari hili swala?
Dah hilo ni tatizo sio kwa mtogole tu hata ushuani sidhani kama wanazo
Itabidi wananchi tuelimishwe hili kwakweli waandishi wa habari wapo humu wakamatie fursa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] eti fire tingisha! Vitu kama hivi mpaka elimu itolewe kwanza ndio watu wapate muamko na kuona umuhimu wa kuwa navyo majumbani.Huku kwetu Kwamtogole kwanza hizo extinguisher tunaziita fire tingisha.
Kwa uswahilini shida itakuwepo... Kwa sababu kama kuchangishana vitu vidogo tu inakuwa shida... Leo hii umwambie rent yako itakuwa kiasi fulani kwa sababu ya hii hii na hii... Hawatakuelewa...Iwe ni sehemu ya contract una sign kabla hujaingia
Kukosekana uaminifu pia kunachangia, kama mwenye nyumba anachangisha pesa ya service ya fire tingisha wala hakuna service yeyote inayofanyika tutaacha kumwamini. Wengine wanachukua pesa la LUKU na umeme unakosekana ndani.Kwa uswahilini shida itakuwepo... Kwa sababu kama kuchangishana vitu vidogo tu inakuwa shida... Leo hii umwambie rent yako itakuwa kiasi fulani kwa sababu ya hii hii na hii... Hawatakuelewa...
Cc: mahondaw
Uaminifu unakosekana kama ukiendekeza shida...Kukosekana uaminifu pia kunachangia, kama mwenye nyumba anachangisha pesa ya service ya fire tingisha wala hakuna service yeyote inayofanyika tutaacha kumwamini. Wengine wanachukua pesa la LUKU na umeme unakosekana ndani.
[emoji23][emoji23][emoji23]Huku kwetu Kwamtogole kwanza hizo extinguisher tunaziita fire tingisha.
usijali,ndoo za maji zipoSikuhizi katika nyumba za kupanga yale majiko ya mkaa yaliyopanga foleni kwenye corridor yamepungua, sikuhizi wengi wanapikia gas, yale mashauzi ya kuchungulia mama Sophia anapikaje chapati si kama yale ya zamani, mama Sophia na mama Irene wanapikia chapati na pilau vyumbani mwao.
Kitu ninachojiuliza ni kuwa, ni wenye nyumba wangapi wanakupumbuka kuweka fire extinguisher? Fikiria ni familia nne zinaishi nyumba moja na kila moja ina mtungi wa gas chumbani haya ni mabomu kama hayatatumiwa kwa tahadhari.
Hembu tulitafakari hili.