Hata huku kwetu Kwamtogole tume up grade lakini elimu ya fire extinguisher bado.

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Sikuhizi katika nyumba za kupanga yale majiko ya mkaa yaliyopanga foleni kwenye corridor yamepungua, sikuhizi wengi wanapikia gas, yale mashauzi ya kuchungulia mama Sophia anapikaje chapati si kama yale ya zamani, mama Sophia na mama Irene wanapikia chapati na pilau vyumbani mwao.

Kitu ninachojiuliza ni kuwa, ni wenye nyumba wangapi wanakupumbuka kuweka fire extinguisher? Fikiria ni familia nne zinaishi nyumba moja na kila moja ina mtungi wa gas chumbani haya ni mabomu kama hayatatumiwa kwa tahadhari.

Hembu tulitafakari hili.
 
Umefikiria jambo kubwa saana.

Wape elimu mashosti ikiwezekana zile pesa zenu za mzunguko, mzunguko mmoja mchukue extinguisher muiweke kwenye corridor.
 
Zile zinaitwa pesa za UPATU, kama huna itabidi utafute wale wote uliosoma nao shule ya msingi wakukopeshe, manake kisuto chake.
 
Sikuhizi katika nyumba za kupanga yale majiko ya mkaa yaliyopanga foleni kwenye corridor yamepungua, sikuhizi wengi wanapikia gas, yale mashauzi ya kuchungulia mama Sophia anapikaje chapati si kama yale ya zamani, mama Sophia na mama Irene wanapikia chapati na pilau vyumbani mwao.

Kitu ninachojiuliza ni kuwa, ni wenye nyumba wangapi wanakupumbuka kuweka fire extinguisher? Fikiria ni familia nne zinaishi nyumba moja na kila moja ina mtungi wa gas chumbani haya ni mabomu kama hayatatumiwa kwa tahadhari.

Hembu tulitafakari hili.

Nafikiri ungejumuisha vifaa vyote vya kuzimia moto ikiwemo blanketi la moto (fire blanket). Halafu sio kwa mtogole tu hata kule Masaki sidhani kama hivi vifaa wanavyo.

Nyumbani kwako unavyo? Kwangu sina ila hilo wazo limekuwepo na sasa nitalitekeleza.
 
Mkuu nimezungumzia ninakokujua kumbe hata wa Masaki hawazingatii haya? Ni kheri Fire Brigadier waelimeshe watu, haya yanaweza kufanyika kwenye TV, radio na magazeti.
 
Fire hazards and prevention kwenye nyumba za kupanga zote linatakiwa lianzie kwa mmiliki...

Jukumu la kuhakikisha usalama wa nyumba na majanga kama moto linatakiwa lianzie kwa mmiliki, then wapangaji wanapewa maelekezo au maagizo watekeleze...

Ingawa mpangaji unaweza kujinunulia hiyo fire extinguisher ukajiwekea...

Cc: mahondaw
 
Fire hazards and prevention kwenye nyumba za kupanga zote linatakiwa lianzie kwa mmiliki...

Jukumu la kuhakikisha usalama wa nyumba na majanga kama moto linatakiwa lianzie kwa mmiliki, then wapangaji wanapewa maelekezo au maagizo watekeleze...

Ingawa mpanjapi unaweza kujinunulia hiyo fire extinguisher ukajiwekea...

Cc: mahondaw
Yah ndiyo niliuliza ni wamiliki wangapi wanalitafakari hili swala?
 
Wameliki wanaelewa sana hayo mambo... Tatizo linakuja kwenye maintenance na training kwa wapangaji endapo wakiamua kufanya hivyo...

Je wapangaji wapo willing kulipia extra charges kwenye rent zao...

Cc: mahondaw
Iwe ni sehemu ya contract una sign kabla hujaingia
 
Dah hilo ni tatizo sio kwa mtogole tu hata ushuani sidhani kama wanazo
Itabidi wananchi tuelimishwe hili kwakweli waandishi wa habari wapo humu wakamatie fursa
 
Na utaratibu wa Fire Brigadier kuzifanyia annual review pia uwepo, usije kukaa na extinguisher miaka sita kama moto haujatokea hakuna aliyeikagua, siku moto unatokea kumbe haifanyi kazi.
 
Huku kwetu Kwamtogole kwanza hizo extinguisher tunaziita fire tingisha.
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] eti fire tingisha! Vitu kama hivi mpaka elimu itolewe kwanza ndio watu wapate muamko na kuona umuhimu wa kuwa navyo majumbani.
 
Iwe ni sehemu ya contract una sign kabla hujaingia
Kwa uswahilini shida itakuwepo... Kwa sababu kama kuchangishana vitu vidogo tu inakuwa shida... Leo hii umwambie rent yako itakuwa kiasi fulani kwa sababu ya hii hii na hii... Hawatakuelewa...

Kukosekana uaminifu pia kunachangia, kama mwenye nyumba anachangisha pesa ya service ya fire tingisha wala hakuna service yeyote inayofanyika tutaacha kumwamini. Wengine wanachukua pesa la LUKU na umeme unakosekana ndani.
 
Uaminifu unakosekana kama ukiendekeza shida...

Wapo wenye nyumbani wanaogeuza wapangaji wao migodi ya kuvuna... Ni kwa sababu wanaendekeza shida/njaa...

Ila for safety purpose, siyo tu fire extinguisher bali hata bima uikatie nyumba yako...

Cc: mahondaw
 
Sikuhizi katika nyumba za kupanga yale majiko ya mkaa yaliyopanga foleni kwenye corridor yamepungua, sikuhizi wengi wanapikia gas, yale mashauzi ya kuchungulia mama Sophia anapikaje chapati si kama yale ya zamani, mama Sophia na mama Irene wanapikia chapati na pilau vyumbani mwao.

Kitu ninachojiuliza ni kuwa, ni wenye nyumba wangapi wanakupumbuka kuweka fire extinguisher? Fikiria ni familia nne zinaishi nyumba moja na kila moja ina mtungi wa gas chumbani haya ni mabomu kama hayatatumiwa kwa tahadhari.

Hembu tulitafakari hili.
usijali,ndoo za maji zipo
 
Back
Top Bottom