Hata humu JF kuna majini aisee!!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji24] [emoji24]
 
Uchawi au mchawi ni MTU mvurugaji lkn uchawi ni sifa na zaidi ni karama toka kwa Mungu

Isipokuwa watu wanautumia vibaya, badala ya kutendeneza wao wanatumia kuharibu
 
[emoji83] [emoji83] [emoji84] [emoji83] [emoji84] [emoji84]
 
Mshana jr popote ulipo jitokeze hadharn tukuone
 
Duh! Sina mbavu ,duniani kuna watu na viatu. Eti tusitishane wakati inaonyesha ushaufyata
 
Uchawi au mchawi ni MTU mvurugaji lkn uchawi ni sifa na zaidi ni karama toka kwa Mungu

Isipokuwa watu wanautumia vibaya, badala ya kutendeneza wao wanatumia kuharibu
Uchawi ni karama toka kwa Mungu au mungu??!!! Makubwa haya tena.
 
Hv nn lknmpk nimepaliwa mtoa mada Mungu anakuona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…