Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Sawa na mim jini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji87]Jiandae kwenda kunilimia mashamba yangu ya mpunga
Kwa nini tena dogo?Unabahati humo kwenye hii list.!!
Wewe binti nakumiss nakutafuta sikupati umejichimbia jukwaa la siasa.?Jf... Jf... Jf...
Nimecheka mpaka mkojo unataka kunitoka. Uuuwih!!! Forgive my ribs jamani. Give me a break please
Kama ni shughuli hiyo, njoo nchukue ata saivi! Tena ntakuja na trekta kabisa! Ila ntaiba magunia ya kutosha msimu wa mavuno ukifika!![emoji125] [emoji125]Jiandae kwenda kunilimia mashamba yangu ya mpunga
We utakuwa muoga mkuu! a.k.a Profesa wa uoga! Vaa miwani ya jua kabla hujalala. Ni ushauri tu![emoji41]We acha zko una stress zako hko unashindwa kulala halafu unakauja kutisha tisha watu hapa
Jini la hekaheka!Sawa na mim jini
Na aliyeziokota aniletee! Naomba! Sio kwa mateso haya! Kichwa chepesiiii!!Hahahaha mtoa mada kichwa kimetoboka akili zinavuja
Ukiiba nitakugeuza beberuKama ni shughuli hiyo, njoo nchukue ata saivi! Tena ntakuja na trekta kabisa! Ila ntaiba magunia ya kutosha msimu wa mavuno ukifika!![emoji125] [emoji125]
Ndio ni karama toka kwa MunguUchawi ni karama toka kwa Mungu au mungu??!!! Makubwa haya tena.