Hata humu JF kuna majini aisee!!

Hata humu JF kuna majini aisee!!

Ha ha ha, ila nadhani wako matumbo joto kwa sasa.

Maana Magu hana mchezo.
Magu ni "mwehu" kama aliweza kuwakatisha watu ajira ndani ya siku mbili "vyeti feki" hahahahaha, yaani Ijumaa ulikuwa kazini, Jumamosi majina yakatoka ya wenye vyeti feki, na kwamba Jumatatu hutakiwi ofisini, hahahahahahah"
 
Noma sana mzee yule, ila anawapenda sana Mwanza.

Ila shemeji nimepamiss sana Gold Crest, Alhamis kunakuwaga na Karaoke safi sana watoto wanakuja kuimba.

Basi unainjoi kusikiliza huku unapata jibapa.
 
Wasalaam wakuu, hili jambo nimelifanyia uchunguzi wa kina na kwa muda mrefu sana. Na leo nimekuja na hitimisho kuwa ni kweli humu Jf kuna majini. Na ntaziweka ID zao punde. Kama mbwaimbwai tu! Tusitishane aisee!! Yaani kuna mtu uki ukimquot tu, hulali![emoji125] [emoji125] [emoji125]
Baada ya kujiridhisha ifuatayo ndiyo orodha ya majini hatari yaliyomo Jf. Kabla ya kuyataja, nianze na maombi kwanza! " Baba muumba mbingu niwekee mkono wako Baba! Nizunguushie ulinzi wako Baba. Haya majini yote nitakayoyataja yashindwe kabisa, na uyaangamize yatakaponisogelea!" Najikabidhi mikononi mwako Baba!# Amina.
Majina yenyewe ni kama yafuatayo:-
Joseverest
Bujibuji
Lizaboni
Mshana Jr
Galapagosi
Shedede
Cute b
Ukhuty
Vamp
Mapupu
Azarel
Jiwe angavu
Jovitha
HR 666
Numbisa
Mahondaw
Mondray
Chikira Mtabari
Jike la Simba
Evelyn Salt
Miss Natafuta
Nyagei
Kyte
[HASHTAG]#nimeanza[/HASHTAG] na Mungu namaliza na Mungu, mtu anisogelee aone![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji35] watu hata hatulali!! Ntamquot mtu leo, alaf aje anisumbue! Atajirestisha in chaos, shaur ake!!
fe2b804d6d36914da71c1bd8f186567c.jpg
Majini hawawezi kukuacha hivihivi Bila Kutumia jina LA Yesu

Hilo ndilo jina lipitalo majinA yote
 
Tena wewe ndio utakua jini kali zaidi ya hayo majini menzako uliyoyataja maana siku niliyo quote uzi wako first time niliota ndoto mbaya kuna mijitu ina sura ngumu naibonda na mawe lakini yale mawe ilikuwa kama hayawathiri kitu ilikuwa kama napiga ukuta na mawe
 
Hahahahahah JF bwana ina raha yake sana, usipocheka utanuna ukinuna utacheka tu khaaa nimejikuta nacheka kweli, ni nn kuwaita wenzako majini?
 
Back
Top Bottom