hahaahhaha, mwishowe atasema kama mama "hela ya mboga" hahahahaha jamani tutaona mengi miaka hiiNimeona kwenye gazeti, yeye anasema haoni cha kuwasaidia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaahhaha, mwishowe atasema kama mama "hela ya mboga" hahahahaha jamani tutaona mengi miaka hiiNimeona kwenye gazeti, yeye anasema haoni cha kuwasaidia.
hahaahhaha, mwishowe atasema kama mama "hela ya mboga" hahahahaha jamani tutaona mengi miaka hii
Magu ni "mwehu" kama aliweza kuwakatisha watu ajira ndani ya siku mbili "vyeti feki" hahahahaha, yaani Ijumaa ulikuwa kazini, Jumamosi majina yakatoka ya wenye vyeti feki, na kwamba Jumatatu hutakiwi ofisini, hahahahahahah"Ha ha ha, ila nadhani wako matumbo joto kwa sasa.
Maana Magu hana mchezo.
Magu ni "mwehu" kama aliweza kuwakatisha watu ajira ndani ya siku mbili "vyeti feki" hahahahaha, yaani Ijumaa ulikuwa kazini, Jumamosi majina yakatoka ya wenye vyeti feki, na kwamba Jumatatu hutakiwi ofisini, hahahahahahah"
Majini hawawezi kukuacha hivihivi Bila Kutumia jina LA YesuWasalaam wakuu, hili jambo nimelifanyia uchunguzi wa kina na kwa muda mrefu sana. Na leo nimekuja na hitimisho kuwa ni kweli humu Jf kuna majini. Na ntaziweka ID zao punde. Kama mbwaimbwai tu! Tusitishane aisee!! Yaani kuna mtu uki ukimquot tu, hulali![emoji125] [emoji125] [emoji125]
Baada ya kujiridhisha ifuatayo ndiyo orodha ya majini hatari yaliyomo Jf. Kabla ya kuyataja, nianze na maombi kwanza! " Baba muumba mbingu niwekee mkono wako Baba! Nizunguushie ulinzi wako Baba. Haya majini yote nitakayoyataja yashindwe kabisa, na uyaangamize yatakaponisogelea!" Najikabidhi mikononi mwako Baba!# Amina.
Majina yenyewe ni kama yafuatayo:-
Joseverest
Bujibuji
Lizaboni
Mshana Jr
Galapagosi
Shedede
Cute b
Ukhuty
Vamp
Mapupu
Azarel
Jiwe angavu
Jovitha
HR 666
Numbisa
Mahondaw
Mondray
Chikira Mtabari
Jike la Simba
Evelyn Salt
Miss Natafuta
Nyagei
Kyte
[HASHTAG]#nimeanza[/HASHTAG] na Mungu namaliza na Mungu, mtu anisogelee aone![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji35] watu hata hatulali!! Ntamquot mtu leo, alaf aje anisumbue! Atajirestisha in chaos, shaur ake!!![]()
[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji30] [emoji30] [emoji123] yashindwe kabisa!!Majini hawawezi kukuacha hivihivi Bila Kutumia jina LA Yesu
Hilo ndilo jina lipitalo majinA yote
Mbona kumtisha mwenzakoHahahahah mpaka yakukute kwanza ndio utaeleawa
Wasalaam wakuu, hili jambo nimelifanyia uchunguzi wa kina na kwa muda mrefu sana. Na leo nimekuja na hitimisho kuwa ni kweli humu Jf kuna majini. Na ntaziweka ID zao punde. Kama mbwaimbwai tu! Tusitishane aisee!! Yaani kuna mtu uki ukimquot tu, hulali![emoji125] [emoji125] [emoji125]
Baada ya kujiridhisha ifuatayo ndiyo orodha ya majini hatari yaliyomo Jf. Kabla ya kuyataja, nianze na maombi kwanza! " Baba muumba mbingu niwekee mkono wako Baba! Nizunguushie ulinzi wako Baba. Haya majini yote nitakayoyataja yashindwe kabisa, na uyaangamize yatakaponisogelea!" Najikabidhi mikononi mwako Baba!# Amina.
Majina yenyewe ni kama yafuatayo:-
Joseverest
Bujibuji
Lizaboni
Mshana Jr
Galapagosi
Shedede
Cute b
Ukhuty
Vamp
Mapupu
Azarel
Jiwe angavu
Jovitha
HR 666
Numbisa
Mahondaw
Mondray
Chikira Mtabari
Jike la Simba
Evelyn Salt
Miss Natafuta
Nyagei
Kyte
[HASHTAG]#nimeanza[/HASHTAG] na Mungu namaliza na Mungu, mtu anisogelee aone![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji35] watu hata hatulali!! Ntamquot mtu leo, alaf aje anisumbue! Atajirestisha in chaos, shaur ake!!![]()
Ameacha uchoyo? Numbisa si wa kumwamini kirahisi namna hiyo
Ameacha uchoyo? Numbisa si wa kumwamini kirahisi namna hiyo
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Tumuundie kamati ya makinikia. Liwalo na liweKwenye swala la uchoyo nimemshindwa, nakaribia kumgawa bure kabisa kwa wageni wa jukwaa.