Hata JK aomba kura kwa staili yake

Lutala

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2010
Posts
848
Reaction score
104
file:///Users/julius/Desktop/kikwete.jpg
 
Wamwulize Mwangunga aliyekuwa anapiga magoti kusalimia wakati akisaka kuchaguliwa kugombea ubunge huko Ubungo
 
huko tunakoelekea watajisahau wakiingia jukwaani na" shikamooni" watatoa...kweli kazi ipo mwaka huu.
 
Akiwa anapanda miti anatandikiwa mkeka/jamvi ila kwa kuwa ni kura na nisuala la kuuza sura... kukaa chni siyo tatizo
 
hii hapa ilikuwa ni kuonesha compassion kwa huyo mwenye ulemavu; ile ya kawambwa ilikuwa ni kupiga magoti na kutamka kabisa kuomba kura. hivyo mleta mada ulitakiwa kulizingatia hilo otherwise pengine ulitaka wakuu tuone hiyo photo tu.
 
Ngashtuka Machale Kundesa JK anatrick za kisanii kwa kuwa kwao Bagamoyo kuna chuo cha sanaa.
 
hii hapa ilikuwa ni kuonesha compassion kwa huyo mwenye ulemavu; ile ya kawambwa ilikuwa ni kupiga magoti na kutamka kabisa kuomba kura. hivyo mleta mada ulitakiwa kulizingatia hilo otherwise pengine ulitaka wakuu tuone hiyo photo tu.

Heee, unataka watu wote tuone kama unavyoona wewe? Maajabu.........

huyo kiwet........ kikwete anajipendekeza tu hana lolote, si hatutaki kufarijiwa tumuone anajkali sana watu wakati ni otherwise.
 
hii hapa ilikuwa ni kuonesha compassion kwa huyo mwenye ulemavu; ile ya kawambwa ilikuwa ni kupiga magoti na kutamka kabisa kuomba kura. hivyo mleta mada ulitakiwa kulizingatia hilo otherwise pengine ulitaka wakuu tuone hiyo photo tu.

Compassion ni muhimu kwa ndugu zetu walemavu. LAKINI HII HAPA JK ANAFANYA FULL USANII. Hata atoe machozi ya damu hatudanga-nyiiikiii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…