Hata kama alipiga dili linganisha Chadema HQ (ruzuku) vs Miundombinu ya Nchi (bajeti)

Hata kama alipiga dili linganisha Chadema HQ (ruzuku) vs Miundombinu ya Nchi (bajeti)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Chukua tu Ruzuku ya Chadema kwa miaka 5 ya Rais Magufuli na michango ya Wabunge kwa Awamu hiyo kisha tembelea Jengo la Makao makuu ya Chadema Ufipa St

Kisha chukua Bajeti zote za Awamu ya 5 zilizopitishwa na bunge kisha tembelea Miundombinu yote na miradi iliyotekelezwa kwa Kipindi hicho

Ni hayo tu.

Mungu wa mbinguni awabariki nyote
 
Mtu yeyote anayeulizwa wachawi wa chadema na wachawi wa maendeleo ya Taifa letu katika top five wewe hukkosekani,ikitokea mchakachuo umepita kama ule wa chafuzi za 2019/2020🤸
 
Hata kiwanja tu hawakuweza kununua!
Halafu eti wanajiita chama cha demokrasia na 'maendeleo'! Maendeleo gani?jibu hoja ya mdau CCM wamejenga ofisi gani??mbona unajitoa akili na kuona una akili mfu watu tumepigika hivi unaleta uharo.ongea vitu vya msingi Sio utumbo wa Kuku.
 
Nilijua utakuja na mchanganuo wa ruzuku kwa vyama vyote ikiwemo CCM na utwambie wamefanya nini??unajua kazi ya kuendesha chama cha upinzani tz wewe au unaongea tu,jaribu na wewe uone.yaani kuanzia Leo sisomi makala zako wewe ni mnafiki saana.
CCM ina kila kitu

Tatizo lenu bavicha hampendi kuambiwa ukweli
 
Take your party's cars to the car wash and do the drudging work to make both ends meet instead of spending the whole day peddling lies online.
Ngumu kumesa!

Hahaha........ karibu kahawa hapa Mtambani
 
Back
Top Bottom