Hata kama alipiga dili linganisha Chadema HQ (ruzuku) vs Miundombinu ya Nchi (bajeti)

Hata kama alipiga dili linganisha Chadema HQ (ruzuku) vs Miundombinu ya Nchi (bajeti)

Chadema wanasema maendeleo sio vitu.lakini viongozi wa juu wamejilimbikizia vitu yaani mali.kwa kwa pesa za ruzuku na michango ya mwanachama

Halafu wanachadema kama wamerogwa utakuta wanashangilia kama wehu kuwa ndio maendeleo sio vitu!!
 
Chukua tu Ruzuku ya Chadema kwa miaka 5 ya Rais Magufuli na michango ya Wabunge kwa Awamu hiyo kisha tembelea Jengo la Makao makuu ya Chadema Ufipa st

Kisha chukua Bajeti zote za Awamu ya 5 zilizopitishwa na bunge kisha tembelea Miundombinu yote na miradi iliyotekelezwa kwa Kipindi hicho

Ni hayo tu,

Mungu wa mbinguni awabariki nyote
Posho imeshatoka?
 
Chadema wanasema maendeleo sio viti.lakini viongozi wa juu wamejilimbikizia vitu yaani mali.kwa kwa pesa za ruzuku na michango ya mwanachama

Halafu wanachadema kama wamerogwa utakuta wanashangilia kama wehu kuwa ndio maendeleo sio vitu!!
Viongozi wa CCM ni maskihni? mbona wanachama 95% ni mafukara?
 
Back
Top Bottom