Kwanini umkopea mtu pesa wewe ni micro finance au benki ? huo ni huruma wakijinga bora nikusaidie pesa ya bure kama msaada, sitaki kujitafutia maadui wa hiari.Ukishamkopea mtu pesa na akachelewesha kulipa , hiyo tayari inatoka kwenye malengo yako na unaona kama umeokota pesa.
Nilimkopea mtu mil 2 , leo kalipa baada ya miezi sita ya kumsumbua sana , sasa nimeona kama nimeokota pesa na nipo bar mda huu nazilamba bia kwa furaha , huku nikipotezea kabisa malengo ya hiyo pesa π€
Kama unamkopea mtu , kiukweli usitarajie chochote kutoka kwake au kwenye hiyo hela , naona kama hili lipo kisaikolojia zaidi π€
Mkuu wapo watu wanakuja na shida , unaona unauwezo wa kuwasaidia kwa dhana ya kukopa , sio kila mtu kafikia level ya kusaidia mkuuKwanini umkopea mtu pesa wewe ni micro finance au benki ? huo ni huruma wakijinga bora nikusaidie pesa ya bure kama msaada, sitaki kujitafutia maadui wa hiari.
Ushauri wangu ni don't usidhubutu kama huwezi kumsaidia ya bure jifunze kusema Big No sina pesa.Mkuu wapo watu wanakuja na shida , unaona unauwezo wa kuwasaidia kwa dhana ya kukopa , sio kila mtu kafikia level ya kusaidia mkuu
Ni ngumu sana kwa mtu mwenye huruma hasa nikikutana na mtu mwenye uhitaji wa jambo live , siwezi kumpa bure ila huruma yangu inadondokea kwenye kukopeaUshauri wangu ni don't usidhubutu kama huwezi kumsaidia ya bure jifunze kusema Big No sina pesa.
Most of my bussiness and domestic enemies walitokana na huruma wakuuwakopea pesa tangu 2017 sera yangu fedha ni no neglegence personal loans anymore nacho kusaidi ni kuku-recommend kupata mkopo benki au microfinance ila mimi sikupi hata 500kNi ngumu sana kwa mtu mwenye huruma hasa nikikutana na mtu mwenye uhitaji wa jambo live , siwezi kumpa bure ila huruma yangu inadondokea kwenye kukopea
Ndio maana siwi na pesa , naweza toka mizizi ya hasira kwa kukopea , ila nikishalipwa hata kwa kucheleweshwa nasahau nahisi wanao nijua vizuri wanatumia huo uchororo kunirudisha nyuma π€Most of my bussiness and domestic enemies walitokana na huruma wakuuwakopea pesa tangu 2017 sera yangu fedha ni no neglegence personal loans anymore nacho kusaidi ni kuku-recommend kupata mkopo benki au microfinance ila mimi sikupi hata 500k
Don't be mean. Kama unacho saidia kwa uwezo wako hata kama sio kwa kuwakopesha. Akiweza kurudisha sawa asiporudisha sawa. Kuna watu wanakuwa na uhitaji sana ila badala ya kuomba anaomba kukopeshwa so usi generalize tu kwamba wote ni walewaleMost of my bussiness and domestic enemies walitokana na huruma wakuuwakopea pesa tangu 2017 sera yangu fedha ni no neglegence personal loans anymore nacho kusaidi ni kuku-recommend kupata mkopo benki au microfinance ila mimi sikupi hata 500k
Ila sometimes kuna watu unakuwa umewasaidia kaka, unapata baraka bila kujua.Ndio maana siwi na pesa , naweza toka mizizi ya hasira kwa kukopea , ila nikishalipwa hata kwa kucheleweshwa nasahau nahisi wanao nijua vizuri wanatumia huo uchororo kunirudisha nyuma π€
Duuh kwani kichwa yako imejaaa kinywaji kila muda? Maana wa kwetu ni matusi tuu siku hizi mpaka aibu...Kmmmk zao
Dada zangu uzuri nawajua wote , nitaomba msamaha leo leo , ngoja pombe zipandeπDuuh kwani kichwa yako imejaaa kinywaji kila muda? Maana wa kwetu no matusi tuu siku hizi mpaka aibu...
Au aibu ndo nitaona mimi....πππππ
Nami mimi naomba mkopo basiYeah mbaya zaidi nakopea bila hata riba
Hahaha swaga zangu ni zipi bamnyo?Ma mnyo hizi swaga zio zako nakujua weweπ