Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 16,583
- 42,992
Kwa haya yanayoendelea hasa huko jeshini, CCM imepoteza kujiamini kwake Kwa asilimia kubwa sana.
Hawawezi tena kuwakoromea wananchi kibabe.
Maana jeshi limeshaonyesha halipo na CCM ila lipo na wananchi. Hii itafanya CCM iwe mpole na asiye jiamini tena.