Kaisari
JF-Expert Member
- Nov 13, 2012
- 3,636
- 3,042
Basi wana jamvi tusaidiane kufikisha hoja muhimu katika katiba, ili vile viraka vyao wanavyoweka basi waweke
1) Nafasi za mawaziri ziwe ni ajira, watu waombe watume cv waitwe kwenye usaili na waajiriwe kwa mikataba. Itaboresha utendaji na kuongeza ufanisi.
2)Nafasi ya spika wa bunge iwe ya kuajiriwa sambamba na mawaziri. Spika asiwe mmoja wa wabunge awe raia tuu kawaida anayekidhi vigezo.
3) Wakati wa uchaguzi matokeo yote yatangazwe vituoni vya kupigia kura yote. Na hivyo pamoja na tume. Kila washiriki watakuwa wanajua idadi ya kura zao hata kabla tume haijatangaza maana watakuwa na matokeo yao tayari.
4) Somo la uzalendo lianze kufundishwa mashuleni, utengenezwe mtaala unahusu uzalendo na maadili. Hii ni pamoja na mavazi ya heshima.
5) Iruhusiwe watu wenye uwezo kkuzalisha umeme na kuuzia raia moja kwa moja , hii itaondoa ukiritimba wa Tanesco.
6) Vyama vya siasa vilivyopo vinatosha kwaiyo hamna haja ya kuwepp msajiri wa vyama tena, hana anacho sajiri.
7) Matokeo ya uchaguzi yahojiwe mahakamani, hii italeta nidhamu kwa wachaguliwa juu ya sheria.
8)Aruhusiwe mgombea binafsi, pasipo chama chochote. maana hata mimi naweza kugombea pia.
9) Umri wa kugombea uwe miaka 35 na kuendelea.
10)Vyeo kama ukuu wa wilaya na mkoa, havina maana. Kwakuwa wapo wakurugenzi, hao wanatosha. Na wakuu wa idara. Tosha kabisa.
Nisaidieni kujazia ujumbe uwafikie