Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,862
- 6,438
🤣🤣🤣🤣Wambie
😇😇😇
Hii inatokea kwenye mahusiano kama mmeachana unakuw unamuombea mabaya😂😂😂Eti kisa umpendi fulani na Fulani , au fulani na fulani hawakusaidii ndiyo unadhani mabaya unayoyawaza kichwani eti ndiyo yatawapata,
hamna jambo lolote baya litawatapata na wataendelea na maisha yao wala hawatataka msaada wako
Endelea tu kufight mkuu🤣🤣
Ati, Just because you dont like someone , Doesn't mean one day they will suffer and need you.
It wont happen that way
LIFE IS NOT A BONGO MOVIE🤣🤣
hatarii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2
Na wala hamna baya linalompataHii inatokea kwenye mahusiano kama mmeachana unakuw unamuombea mabaya😂😂😂
🤣🤣🤣🤣Mkuu nani hakupendi?
Tena mate tumchape😃😃😃🤭🤭
🤣🤣🤣🤣🤣 ndivyo ilivyoinauma sana hasa uliempenda mkatemana afu akawa ana muvu oni huku akiwa na tabasamu muda wote..hadi unahisi labda anaona ulikuwa unambana haienjoy!
daahh inauma sana
unaweza kuhama nchi.
ila akiwa anaharibikiwa wee unapata furaha ambayo haikusaidii chochote.
👊🤝🤝Indeed!
Siamini kama mtu akikufanyia baya basi na yeye baya litamkuta.
AiseeeBaada ya muda kupita kwa maisha mabovu niliyokuwa nayaishi na hata nilivyokuwa kwenye magumu yale, nilisema sitowahi na wala sitokuja kumchukia mtu kwa sababu nimemuomba anisaidie kitu akasema hawezi ingawa kiuhalisia uwezo huo anao wala Kumlaumu.
Baada ya muda kupita kwa maisha mabovu niliyokuwa nayaishi na hata nilivyokuwa kwenye magumu yale, nilisema sitowahi na wala sitokuja kumchukia mtu kwa sababu nimemuomba anisaidie kitu akasema hawezi ingawa kiuhalisia uwezo huo anao wala Kumlaumu.
aiseeeKanuni ya ulimwengu ipo wazi. Unapofanya ubaya na wewe utakurudia.
Kumchukia mtu si matokeo ya yeye kukufanyia ubaya, muda mwingine chuki yako chanzo chake ni roho yako, history yako, fikra zako, upeo wako mdogo na kadhalika. Hapo usihusishe na mtu ni wewe.
Ila kama mtu amekufanyia ubaya na yeye amekiri kuwa amekufanyia ubaya na kwa kiburi na jeuri akaendelea na maisha yake huku wewe ukilipia gharama ya ubaya aliokufanyia mwenyewe pekee yako, kwann mabaya yasimkute sasa huko anapokwenda, kwani yeye ni nani au ana upekee gani hadi mabaya yasimrudie na yeye kuumia zaidi yako.
Kama hauamini katika hiyo sayansi ya ulimwengu then wewe hapo ulipo kwa makusudi muache mwanamke aliyekupenda kwa dhati, kukujali, kukuheshimu, kuwa pamoja na wewe nyakati za taabu. Muache mwanaume aliyejitoa kwako kwa jasho na moyo kukulinda, kukutetea, uaminifu, kukuhudumia, na kukujali kisha nenda na kwa jeuri na dharau halafu utajua kuwa dunia ina mwenyewe na haitwi athumani.
Jaribu tu kama unahisi dunia na ulimwengu vipo chini yako na unaweza mfanyia lolote yoyote vile unataka.
Jaribu..... Fanya kama una thubutu, wala hatutakuzuia...... Jaribu..... Nenda sasa hivi kajaribu......
Sent using Jamii Forums mobile app
🤝🤝Baada ya muda kupita kwa maisha mabovu niliyokuwa nayaishi na hata nilivyokuwa kwenye magumu yale, nilisema sitowahi na wala sitokuja kumchukia mtu kwa sababu nimemuomba anisaidie kitu akasema hawezi ingawa kiuhalisia uwezo huo anao wala Kumlaumu.
Kanuni ya ulimwengu ipo wazi. Unapofanya ubaya na wewe utakurudia.
🤝🤝🤝"Ubaya" unaouzungumzia hapa kwamba utamrudia mtu ni kama upi? Au ni nini ambacho kikimpata mtu utasema huu ni ule ubaya aliofanya ndio umemrudia??
Je, ni kifo?
Je, ni kuugua?
Je, ni kufilisika?
Je, ni kuachwa?
Je, ni kupata ajali? Au ni nini?
Je, watu wanaofanya mema hua hawapatwi na majanga kama hayo?
Kanuni pekee ya ulimwengu ambayo ipo wazi ni kwamba at the end of the day kila binadamu lazima kuna ubaya utampata, awe amefanya mambo mazuri au mabaya haijalishi!