Hata kama hauwapendi, usidhani yatawakuta mabaya

Hata kama hauwapendi, usidhani yatawakuta mabaya

Eti kisa umpendi fulani na Fulani , au fulani na fulani hawakusaidii ndiyo unadhani mabaya unayoyawaza kichwani eti ndiyo yatawapata,

Hamna jambo lolote baya litawatapata na wataendelea na maisha yao wala hawatataka msaada wako

Endelea tu kufight mkuu[emoji1787][emoji1787]

Ati, Just because you dont like someone , Doesn't mean one day they will suffer and need you.

It wont happen that way

LIFE IS NOT A BONGO MOVIE[emoji1787][emoji1787]
Nmekusindikizia na kapicha
divatheebawse_1621674106049550.jpg
 
Back
Top Bottom