Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Nmekusindikizia na kapichaEti kisa umpendi fulani na Fulani , au fulani na fulani hawakusaidii ndiyo unadhani mabaya unayoyawaza kichwani eti ndiyo yatawapata,
Hamna jambo lolote baya litawatapata na wataendelea na maisha yao wala hawatataka msaada wako
Endelea tu kufight mkuu[emoji1787][emoji1787]
Ati, Just because you dont like someone , Doesn't mean one day they will suffer and need you.
It wont happen that way
LIFE IS NOT A BONGO MOVIE[emoji1787][emoji1787]