Konseli Mkuu Andrew
JF-Expert Member
- May 10, 2013
- 749
- 875
Sina Imani na mtu yoyote mkuu.Najiamini mimi tuuHivi na wewe huwa unawaamini wanasiasa?halafu
Sasa unazani kwa haya yanayofanyika kuna kikundi kinaweza kufanya haya bila baraka furani?Sina Imani na mtu yoyote mkuu.Najiamini mimi tuu
Ni raia wa kawaida kama ulivyo wewe. Ni haki yangu kutoa maoni kama katiba inavyotaka, toa na Yako.Kwahiyo Sativa alipodai kutekwa na kupelekwa kituo cha polisi oysterbay aliachiwa halafu vibaka wakamteka na kwenda kumpiga na kumtupa Katavi? Wewe unayesema polisi hawahusiki una wadhifa gani huko polisi au wizara ya mambo ya ndani?
Ukashindwa kumiliki bastora, nunua hata Teasernadhani ni muda wa kujitafuta kumiliki angalau pistol
Kumbe!!Hakuna jeshi hapo broo
Unakumbuka miaka ya mwanzoni mwa 2000 uhalifu ulikisiri na majambaz walitumia silaha nzito nzito?Sasa unazani kwa haya yanayofanyika kuna kikundi kinaweza kufanya haya bila baraka furani?
Hii serikali ya Ccm ina dharau sana wananchi.Kwa kanuni na Sheria ndani ya Jamhuri ya Tanzania, jeshi la Polisi Tanzania ndio lenye mamlaka ya kulinda raia na mali zake, hivyo vitendo vya wanananchi kutekwa na kuuawa jeshi ili linatakiwa kupokea lawama juu yake na kukabiliana nazo kikamilifu.
Ni aibu sana tena kama wauni wanadiriki kukamata watu mchana kweupe mbele ya WATU( issue ya Mzee Hemed Kibao) na kuwaua, tafsiri yake ni kuwa ndani ya eneo husika hakuna ulinzi wa kutosha.
Siasa ziwekwe pembeni katika ili, tuache idara za ulinzi na usalama zifanye utafiti wa kina na waje na majina ya wahusika bila kumfumbia mtu macho.
Nawasilisha.
Unaposema polisi aihusiki una uthibitisho gani wa madai yako? Uliwahi kusikia habari za wafanyabiashara wa madini kutoka Mahenge mkoani Morogoro waliouawa na polisi na umma ukaambiwa ni majambazi? Je ni kweli walikuwa majambazi?Ni raia wa kawaida kama ulivyo wewe. Ni haki yangu kutoa maoni kama katiba inavyotaka, toa na Yako.
Kesi ya nyani unampa ngedere na unategea haki?Kwa kanuni na Sheria ndani ya Jamhuri ya Tanzania, jeshi la Polisi Tanzania ndio lenye mamlaka ya kulinda raia na mali zake, hivyo vitendo vya wanananchi kutekwa na kuuawa jeshi ili linatakiwa kupokea lawama juu yake na kukabiliana nazo kikamilifu.
Ni aibu sana tena kama wauni wanadiriki kukamata watu mchana kweupe mbele ya WATU( issue ya Mzee Hemed Kibao) na kuwaua, tafsiri yake ni kuwa ndani ya eneo husika hakuna ulinzi wa kutosha.
Siasa ziwekwe pembeni katika ili, tuache idara za ulinzi na usalama zifanye utafiti wa kina na waje na majina ya wahusika bila kumfumbia mtu macho.
Nawasilisha.