Hata kama kazi inaendelea. Mbona hatuoni miradi mkakati mipya zaidi ya kujikongoja kumalizia miradi aliyoasisi Hayati Magufuli?

Hata kama kazi inaendelea. Mbona hatuoni miradi mkakati mipya zaidi ya kujikongoja kumalizia miradi aliyoasisi Hayati Magufuli?

Mnakomaa kumalizia Sgr, daraja la wami, daraja la Busisi na miradi kibao aliyoiasisi hayati JPM.

Kwa nini rais wa sasa asilete miradi mingine ya kuweza kisisimua uchumi?

Ina maana hii miradi aliyoianzisha hayati JPM ikiisha ndio basi tena?
Mzalendo no moja kuwahi kutokea nchi hii ni Mwalimu Jkn full stop!!
 
Wangekuwa na akili Kama zake wangeitelekeza hiyo miradi na kusabisha hasara ya mabilioni. Angewaongepea nyie wanyonge' kuwa ni miradi ya kifisadi na mngemshangilia. Mwisho maamuzi hayo yangewagharimu Watanzania kwa kulipa madeni ya miradi iliyotelekezwa.

Wao wana akili na busara ndio maana wanaimalizia.
 
Mnakomaa kumalizia Sgr, daraja la wami, daraja la Busisi na miradi kibao aliyoiasisi hayati JPM.

Kwa nini rais wa sasa asilete miradi mingine ya kuweza kisisimua uchumi?

Ina maana hii miradi aliyoianzisha hayati JPM ikiisha ndio basi tena?
Kwasababu kutabakia viporo au huwezi kufikiria
 
Ila nchi hii kuna matakataka mengi sijawahi kuona! Yaani hujui kama kule Kigoma tunaweka rami kuanzia Kakonko mpaka Manyovu? Hujui kama kule Kigoma pia tumezima majenereta? Hivi unafikri kumalizia ile miradi ni kazi ndogo? Yaani unataka mama ianzishe ya kwake ili ya lile takataka lenu isimame?
 
Mnakomaa kumalizia Sgr, daraja la Wami, daraja la Busisi na miradi kibao aliyoiasisi hayati JPM.

Kwanini rais wa sasa asilete miradi mingine ya kuweza kisisimua uchumi?

Ina maana hii miradi aliyoianzisha hayati JPM ikiisha ndio basi tena?
Mkuu, Rais SSH na hayati JPM wote wawili kwa pamoja waliinadi ilani moja tu ya uchaguzi. Mmoja alikuwa ni mgombea wa nafasi ya urais kwa tiketi ya CCM, huku mwingine akiwa ni makamu wake.

Kwa hiyo utekelezaji wa ilani hiyo unamfanya ajielekeze katika yale yote yaliyo ahidiwa ndani yake. Kwa sasa hawezi kuja na miradi mikubwa mipya nje ya ilani, labda ije kupitia tamko lake kama Rais kutokana na mamlaka yake makubwa ya kikatiba aliyokuwa nayo.
 
Mnakomaa kumalizia Sgr, daraja la Wami, daraja la Busisi na miradi kibao aliyoiasisi hayati JPM.

Kwanini rais wa sasa asilete miradi mingine ya kuweza kisisimua uchumi?

Ina maana hii miradi aliyoianzisha hayati JPM ikiisha ndio basi tena?
Sijakupata vizuri labda,kwani huyu mama wakati hiyo miradi ilipoanzishwa alikuwa wapi,si alikuwa ni mmoja wa viongozi wa juu kabisa,sasa ulitaka aiache hii aanze na miradi mingine mipya wakati walipoianzisha na yeye akiwa mmoja wapo bado haijaisha,labda ungesema mkisha maliza hii miradi iliyoanzishwa awamu ya tano,then muanzishe mingine...
 
Back
Top Bottom