Niliposikia wapenzi wa Simba ni mbumbumbu niliona kama tusi,ila kwa maoni kama haya ninakubaliana kuna watu ni zaidi ya wapumbavu.1. Robertinho ni mmoja wa makocha bora wa kigeni wanaolijua soka la Afrika mashariki
2. Hajakaa na timu muda mrefu ili aweze ku-instil falsafa yake ya timu kushambulia muda wote.
3. Timu ipo kwenye hatua ya mwisho ya kukua: kuanguka kwa kiingereza decline
4.Mgunda ndiyo mchawi wa robertinho anafanya kila fitina ili kocha asifanikiwe ili arudishiwe timo
5. Kwa hiyo kocha apewe muda ili ajenge timu ya makombe
Mgunda ni kosto yunion wa kuzaliwa na hana mapenzi yote kwa simba zaidi ya mshiko. Haya Kachukue buku 7 yako kwa mgunda.
AhahahahahaaSimba wangebaki na Mgunda wa focus kushinda mechi na makombe ya ndani kuliko ivi wanavyotaka kushinda mechi za ndani na nje kwa mpigo...