maendeleo yapo ya aina mbalimbali,elimu,uwezo wa kuelewa,haki,utawala bora,demokrasia,sijui wewe unaongelea maendeleo ganiKizazi kijacho hakiwezi kuwa na Fikra mbovu na duni kama Yako(Yenu).
Dunia ya sasa na Ijayo inachohitaji Maendeleo pekee na sio Maneno Maneno ya ovyo.
maendeleo yapo ya aina mbalimbali,elimu,uwezo wa kuelewa,haki,utawala bora,demokrasia,sijui wewe unaongelea maendeleo gani
Maendeleo gani unayaongelea ?!. Labda tuna maoni tofauti !!Kizazi kijacho hakiwezi kuwa na Fikra mbovu na duni kama Yako(Yenu).
Dunia ya sasa na Ijayo inachohitaji Maendeleo pekee na sio Maneno Maneno ya ovyo.
Tanzania haijaridhika bado na kubweteka.Maendeleo gani unayaongelea ?!. Labda tuna maoni tofauti !!
Pia Ulaya, Asia ya mbali na America wangeridhika na hali yao ya ww II , wasingekuwa hivi walivyo leo.
Wakimtoa tuna Membe na Rungwe hawa wasijitoenaona ccm na washarika wake tume ya uchaguzi na polisi wanahangaika sana kumzima lissu au ikiwezekana kumuengua asiendelee wala asiwe mgombea tena,
neno moja tu kwenu ccm na magufuli na washarika wenu wote hata kama mkimtoa asigombee tena message delivered
watanzania hawaitaki tena ccm hata kama mngekuja na mbinu gani haisaidii tena is matter of time
tukishindwa sisi kizazi hiki kile kijacho kitawatoa na historia itawahukunu
Jomba labda nikuulize unazungumzia watanzania wepi hao..wanqchama wenu au ndugu zako na familia yako na mmeo..usi generalize haya mambo ya wananchi, Tena ukome..Sema wanachama wa chama chako..Kwa sababu asilimia 95 ya wananchi wapo na Magufuli sijui unalijua hilonaona ccm na washarika wake tume ya uchaguzi na polisi wanahangaika sana kumzima lissu au ikiwezekana kumuengua asiendelee wala asiwe mgombea tena,
neno moja tu kwenu ccm na magufuli na washarika wenu wote hata kama mkimtoa asigombee tena message delivered
watanzania hawaitaki tena ccm hata kama mngekuja na mbinu gani haisaidii tena is matter of time
tukishindwa sisi kizazi hiki kile kijacho kitawatoa na historia itawahukunu
Umeandika nini humu?naona ccm na washarika wake tume ya uchaguzi na polisi wanahangaika sana kumzima lissu au ikiwezekana kumuengua asiendelee wala asiwe mgombea tena,