Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Kuna ajali imetokea Bagamoyo. Jamaa meneja ABSA alikuwa ana safiri na dada zake watatu. Wamekufa wote wakielekea msibani Kilimanjaro.Dah nimesoma ulivoandika kwa msisitizo, mpaka maini nimehisi yametetemeka!
Kipi kimekukuta mkuu mpaka umeandika huu wosia? [emoji848]
Sasa mpaka uwataje kina Jr, lovren na kim ndugu yangu 😂😂Watu wanapuuzia
Unaskia haya junior lovren kim pandeni kwenye garii nduki safari ya mkoani
Hahahaaaa ni mfano tu bru si unajua tena 😆🤣 mungu asaidie tu maana hakuna namnaSasa mpaka uwataje kina Jr, lovren na kim ndugu yangu 😂😂
Mkuu Mkuu nakuita Tena Mkuu nilipoteza mawasiliano yakoPoleni kina Msuya. DIANA nilimfahamu alipokuwa akisoma Meta Mbeya
😃 Hao wakishua tupu, back to the topic, OP ana hoja. Kuna haja ya kuzingatia tips muhimu kama hizi kwaajili ya usalama wetu na tuwapendao.Hahahaaaa ni mfano tu bru si unajua tena 😆🤣 mungu asaidie tu maana hakuna namna
Wale wadada wawili waliofariki walisoma Meta High School Mbeya R.I.P Diana and Nora MsuyaKuna ajali imetokea Bagamoyo. Jamaa meneja ABSA alikuwa ana safiri na dada zake watatu. Wamekufa wote wakielekea msibani Kilimanjaro.
Mwamba yupo sahihi,sema kuna nyakati mnalazimika kusafiri hivyo.Dah nimesoma ulivoandika kwa msisitizo, mpaka maini nimehisi yametetemeka!
Kipi kimekukuta mkuu mpaka umeandika huu wosia? [emoji848]
Kuna aliyekuwa boss wangu mzungu alikuwa akirudi kwao na familia hawapandi ndege mojaWazee wa zamani waliona mbali sana kifikra kuhusu maisha. Awakuruhusu watoto wao watumie chombo kimoja cha usafiri, wakae pamoja au kuambatana mara kwa mara; waliogopa kuteketeza familia at once.
Leo hii imekuwa fashion kwa ndugu kusafiri pamoja, tunapotumia chombo kimoja cha usafiri upo uwezekano mkapotea kwa pamoja. Chukueni taadhari; kawia ufike.
Poleni wote mliowahi kupoteza ndugu kwenye ajali au majanga ambayo endapo tungetenganisha wana familia may be baadhi wangekuwa hai leo