We mtu mwenyewe ukifanya usaili unapata 48, 35, 65 unategemea uitwe kazini.
wana jf hivi mnalichukuliaje hili kwa upande wangu mi nakwazika sana,hivi hawa utumishi wanaona sisi hatuna mambo mengine ya kufanya zaidi ya kuwasubiri wao watuite kazini,kuna watu wamejisacrifice hawajaenda chuo kuendeleza elimu zao wakisubiri kuitwa kazin,hebu tujuzane wanachofanya ni nini? na je wote waliofanya usaili wataitwa kazini?mana sio watu wanakua na full hope afu hawaitwi kazini,wenzangu mnaona imekaaje hii?
mkuu ! nakushauri ukiwa unaendelea kusubiri endeleza mambo yako mengine ya msingi kama kusoma nkwana jf hivi mnalichukuliaje hili kwa upande wangu mi nakwazika sana,hivi hawa utumishi wanaona sisi hatuna mambo mengine ya kufanya zaidi ya kuwasubiri wao watuite kazini,kuna watu wamejisacrifice hawajaenda chuo kuendeleza elimu zao wakisubiri kuitwa kazin,hebu tujuzane wanachofanya ni nini? na je wote waliofanya usaili wataitwa kazini?mana sio watu wanakua na full hope afu hawaitwi kazini,wenzangu mnaona imekaaje hii?
mkuu ! nakushauri ukiwa unaendelea kusubiri endeleza mambo yako mengine ya msingi kama kusoma nk
ukiwasubiri hawa jamaa ndo kama tumaini lako utaumia
Mkuu kua mstaarabu, kucheleweshewa haki ni sawa na kunjimwa haki, we unaropoka nini kama imekugusa na ugusike hatutaki unafiki, huko ofisini mnafanya nini ambacho hatukioni, au mnasoma barua za maombi ya kazi na kuzipost huku jf, kama mnanafasi ya kujadili kingereza cha wanaoomba kazi na kukitupia huku jf inakuaje mnakosa muda wa kuwapangia waliofaulu vituo vyao vya kazi? tufungukeni Watanzani.
Jamani lakini kama secretarieti au serikari inajua aina ela kwanini ina tangaza nafasi za kazi? tena nyingi tena kwa bwebwe kubwa kwa kila chombo cha abali, aioni iyo ni kuwaumiza watu kwani watu wana aply wakisubili kuitwa alafu wanasema serikali aina ela mi naona aina maana kufanya ivyo ule wakati wakudanganyana ume isha saizi, serikari kama imeona aina ele basi wasubili na sio kuwaumiza watu mioyo elim yenyewe ai muandaai mtu kujiajili mwenyewe,IS NOT FAIR.