wana jf hivi mnalichukuliaje hili kwa upande wangu mi nakwazika sana,hivi hawa utumishi wanaona sisi hatuna mambo mengine ya kufanya zaidi ya kuwasubiri wao watuite kazini,kuna watu wamejisacrifice hawajaenda chuo kuendeleza elimu zao wakisubiri kuitwa kazin,hebu tujuzane wanachofanya ni nini? na je wote waliofanya usaili wataitwa kazini?mana sio watu wanakua na full hope afu hawaitwi kazini,wenzangu mnaona imekaaje hii?