hata kama mvumilivu hula mbivu sio kwa staili hii,,!

hata kama mvumilivu hula mbivu sio kwa staili hii,,!

hawa jamaa n kelo kwel wanachelewesha sana watu tnasubr had tna zeeka usail tu bado hata hawaja ita . hii system wabadrshe wanatuumiza sana.

Hapa mtasubiri sana, kwa style ya uandishi hii, kweli taifa linaangamia.
 
pressure inapanda na kushuka,tufikirieni pliz msije kuwa mmechelewesha ili mchakachue na kuweka watoto na ndugu zenu,wenzenu hatuna hata mtaji wa karanga tunawategemea nyie utumishi, kuweni fair
 
Poleni sana, subira huvuta heri hasa kwa hali ya ajira ilivyo sasa hapa nchini.
 
mwakitobile umepata ndo mana unaxema hvyo ungekua huna kaz wala kitegeuchumi chochote ucngexema hvyo,watu hawana hata mtaji wa karanga wanategemea utumish alafu wanatuzingua,inshort utumish wanaboa xana
 
nilipata tetesi mpango mzima leo tar20 nikawa na hamu kweli nashangaa ucku ùmeingia ngoja tuone huu mwez kama utaisha,
 
hawa jamaa n kelokwel wanachelewesha sana watu tnasubr had tna zeeka usail tu bado hata hawaja ita . hii system wabadrshe wanatuumiza sana.
kweli utasubiri sana kama ndio hata lugha mama hujui
 
Suala lenu bado linashughulikiwa, tafadhali kuweni wavumilivu kwa sasa.
 
Back
Top Bottom