Hata kama ni Byuti, ndio mfungwe sekunde ya 30?

Hata kama ni Byuti, ndio mfungwe sekunde ya 30?

Alijisemea mshana jr,jezi za yanga nzito
 
Simba alipofungwa kule ismailia waaamuzi wa mchongo waliponda sana ila jana wazee wa bahasha wamepigwa wanasema jamaa walikamia mara team haina muunganiko ila hawa wachambuzi wetu ni hopeless kabisa.
 
Tulitaka kabisa tufungwe sekunde ya kwanza

Unaumia nn wakati hukufungwa wewe


[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hilo la Kona ni kama lile la Kichuya


Timu ina mdomo sana,jana imekomeshwa. Magoli yote ya aibu, sekunde ya 30 ikapigwa cha kuku chwiiiiiiiii. Kipindi cha pili ikanyunyizwa kona goli. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom