mganda og
Senior Member
- Feb 23, 2023
- 134
- 445
Jamani hawa Simba hamna timu, kinachofuata ni aibu kubwa huko robo fainali, Raja wamepumzisha wachezaji 15 wa kikosi cha kwanza pamoja na wale wa kikosi cha pili lakini bado Hawa ndugu zetu wamelambishwa bao 3 safi..
Niwaombee tu caf kama kuna uwezekeno hii timu muiruhusu iishie hapa, itakuja kushiriki tena mwakani Ikiwa imejipanga. Kuiruhusu iende robo fainali ni kwenda kulinajisi taifa letu la Tanzania.
Niwaombee tu caf kama kuna uwezekeno hii timu muiruhusu iishie hapa, itakuja kushiriki tena mwakani Ikiwa imejipanga. Kuiruhusu iende robo fainali ni kwenda kulinajisi taifa letu la Tanzania.