Hata kama ni kukamilisha ratiba, ndio mpigwe Goli 3 na kikosi C cha Raja Casablanca?

Hata kama ni kukamilisha ratiba, ndio mpigwe Goli 3 na kikosi C cha Raja Casablanca?

mganda og

Senior Member
Joined
Feb 23, 2023
Posts
134
Reaction score
445
Jamani hawa Simba hamna timu, kinachofuata ni aibu kubwa huko robo fainali, Raja wamepumzisha wachezaji 15 wa kikosi cha kwanza pamoja na wale wa kikosi cha pili lakini bado Hawa ndugu zetu wamelambishwa bao 3 safi..

Niwaombee tu caf kama kuna uwezekeno hii timu muiruhusu iishie hapa, itakuja kushiriki tena mwakani Ikiwa imejipanga. Kuiruhusu iende robo fainali ni kwenda kulinajisi taifa letu la Tanzania.
 
........  mkuu sio mbaya sana kwa kucheza ugenini, na hiyo mechi ukizingatia ni kukamilisha ratiba kama ulivyodokeza......hata hao Simba pia waliingia na mentality ya kukwepa kuumia, kwa ajili ya gemu zijazo......by the way hata kama Casablanca wakipumzisha wachezaji lakini bado ni timu bora huwezi fananisha na timu za afrika mashariki.........pia goli tatu kwa moja ni matoleo reasonable kabisa kwenye football, mbona man ualikula saba na tukampongeza........simba wapongezwe coz walikuwa kwenye nafasii mbaya sana ya kutofuzu hiyo hatua inayofuata ya robo.......
 
Jamani hawa Simba hamna timu, kinachofuata ni aibu kubwa huko robo fainali, Raja wamepumzisha wachezaji 15 wa kikosi cha kwanza pamoja na wale wa kikosi cha pili lakini bado Hawa ndugu zetu wamelambishwa bao 3 safi..

Niwaombee tu caf kama kuna uwezekeno hii timu muiruhusu iishie hapa, itakuja kushiriki tena mwakani Ikiwa imejipanga. Kuiruhusu iende robo fainali ni kwenda kulinajisi taifa letu la Tanzania.
Aaahahah
 
Tufurahi tuu...walitutakia kichapo heavy ila imekua ndivyo sivyo
Kuna mdau kawauliza vigezo vya kucheza kombe la loosers ni vipi

Badala wampe majibu wanazunguuka

Maana kawaambia yeye wakati anaondoka mjini kuelekea vijijini pasipo na mtandao aliiacha timu klabu bingwa ila anarudi ipo Loosers sasa nini kilitokea.
 
Back
Top Bottom