Fainali ya nyoko.Sasa Simba atafunga timu ipi iliyobakia hapo robo?Kwa Mbaaali naiona Fainali Ya Klabu Bingwa Afrika 2023 CAF CL, Simba Na Raja.....!
Kwa 'Mbungi' Lile Sisi Mashabiki Wa Mnyama Wala Hatuwadai Wachezaji ...!
Ni bahati tu haikuwa Upande Wetu..!
AaahahahJamani hawa Simba hamna timu, kinachofuata ni aibu kubwa huko robo fainali, Raja wamepumzisha wachezaji 15 wa kikosi cha kwanza pamoja na wale wa kikosi cha pili lakini bado Hawa ndugu zetu wamelambishwa bao 3 safi..
Niwaombee tu caf kama kuna uwezekeno hii timu muiruhusu iishie hapa, itakuja kushiriki tena mwakani Ikiwa imejipanga. Kuiruhusu iende robo fainali ni kwenda kulinajisi taifa letu la Tanzania.
Wangekuwa wanarembua tuuHivi wale jamaa wa nyuma mwiko wangeweza kweli kucheza usiku ule?
Kausha basi nawwWale waarabu koko wa manzese midizini leo watafungua kila aina ya sredi...hahhahahaha
Kwani Simba imechezeshwa usiku wa saa ngapi?Hivi wale jamaa wa nyuma mwiko wangeweza kweli kucheza usiku ule?
Kachinjwa saa 7 usiku!Kwani Simba imechezeshwa usiku wa saa ngapi?
Ndoto ya mchana hii.Kwa Mbaaali naiona Fainali Ya Klabu Bingwa Afrika 2023 CAF CL, Simba Na Raja.....!
Kwa 'Mbungi' Lile Sisi Mashabiki Wa Mnyama Wala Hatuwadai Wachezaji ...!
Ni bahati tu haikuwa Upande Wetu..!
Hii comment imenichekesha sana japo sina helaWale waarabu koko wa manzese midizini leo watafungua kila aina ya sredi...hahhahahaha
Tufurahi tuu...walitutakia kichapo heavy ila imekua ndivyo sivyoHii comment imenichekesha sana japo sina hela
Ubarikiwe sana
😍🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Kuna mdau kawauliza vigezo vya kucheza kombe la loosers ni vipiTufurahi tuu...walitutakia kichapo heavy ila imekua ndivyo sivyo
Hata kuingia robo fainali si mlisema pia ni ndotoNdoto ya mchana hii.
Simba huwa anawinda hata usiku wa manane.Kwani Simba imechezeshwa usiku wa saa ngapi?