jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Inawezekana kabisa nia ya 4RS ipo dhahiri kupitia CCM Lakini ni vyema vyama vyote kuzingatia taratibu tulizojiwekea katika uchaguzi.
Inashangaza mgombea umeelezwa wazi kuwa iwapo hujatendewa haki kata rufaa
Nenda kwenye mamlaka ya kiuchaguzi pigania haki yako halafu badala ya kufanya hivyo unaandaa post ya Tweeter a.k.a X kulaumu.
Hivi mwenyekiti wa kijiji usiye na uwezo wa kupambana kikanuni utaweza kuwaongoza mabush lawyers waliopo vijijini?
Tunatambua wengi wa wanakijiji watata huwa wana tabia ya kuhoji makosa madogo madogo tu ili akuaibishe au kuzua mgogoro katika mkutano.
Sasa tukiwa na Mwenyekiti aliyekosea jina au umri au tarehe ya kuzaliwa je ataweza kupambana na wananzengo?
Hebu mlioenguliwa onesheni weledi wa kupambana la sivyo mtaonekana ni weak na kamwe hamtakuwa na uwezo wa kupambana na vurugu za kijijini.
CIAO!!