Hata kama ni MC wa kukodi, kwanini akodiwe mtu aliyefungiwa?

Ndio ameshajiusisha na mambo ya soka tuone mtamfanya nini nyie makolo fc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shughuli siyo ya TFF, na sidhani kama Yanga wameomba kibali TFF kufanya shughuli Yao ya kutambulisha wachezaji, watakuwa wamewafuata DRFA kwa ajili ya mechi ya saa 1 Usiku!!!
====
Ni mwendo wa kuvurugana tu hakuna namna!
Mkuu tff ndy inasimamia Mpira wa bongo..tusisahau hilo,ameidharau taasisi
 
Shughuli siyo ya TFF, na sidhani kama Yanga wameomba kibali TFF kufanya shughuli Yao ya kutambulisha wachezaji, watakuwa wamewafuata DRFA kwa ajili ya mechi ya saa 1 Usiku!!!
====
Ni mwendo wa kuvurugana tu hakuna namna!
Yanga ni mwanachama wa TFF
 
Leo mtalala na viatu.
 
Siyo shabiki wa Yanga lakini hakuna kitu kimenifurahisha kama hiki.
 
Bangi siyo nzuri
 
Ni dhahiri Yanga inaendeshwa kihuni Sana .ni Kama wamemwambia wewe kuwa MC hakuna mtu wakukufanya kitu.Lakini watu professional na wenye hekima wangeona hili jambo kwa mapana.
 
Shughuli siyo ya TFF, na sidhani kama Yanga wameomba kibali TFF kufanya shughuli Yao ya kutambulisha wachezaji, watakuwa wamewafuata DRFA kwa ajili ya mechi ya saa 1 Usiku!!!
====
Ni mwendo wa kuvurugana tu hakuna namna!
Unajua ulichokiandika au ? Ina maana TFF haina taarifa ya tukio Hilo.?.elewa pia imelikwa timu ya nchi jirani unadhani wamekuja tu kama wanakuja kumsalimia mjomba wao...unajua criteria za FIFA kwa friendly mechi ...YANGA ni mwanachama wa TFF either anafanya jambo Lililo kwenye kalenda au laa, msimamizi wake ni TFF
 
utopolo wanapenda uchokozi wakipigwa wanaona wanaonewa.
Na manara kajua kuwashika akili utopolo
 
Nimeanza kumuelewa jemedari saidi kazumari.
Kesho atatoka tena KUOMBA MSAMAHA.
 
Itambulike, kufungiwa kujihusisha na shughuli za mpira ni mapana sana, huyu Manara anaonekana kweli ni gangster, hajui lolote.

Hapa uwe mpira wa mashindano, bonanza kama hilo la Yanga SC, au mechi nyingine ya kirafiki, hizi zote ni shughuli za mpira ambazo alifungiwa.

Aidha, neno "shughuli" lina tafsiri nyingi na ni pana pia, inaweza kuwa MC wa shughuli za mpira, refa wa mechi, daktari wa timu, nk.

Hayo yote Manara alishafungiwa, inaonekana hata taasisi ya Yanga SC haina wajuvi wa sheria, wanamuacha tu huyo kichaa wao azidi kuwaharibia, wasishindane na mamlaka.
 
Huyu bwana mdogo naona kaamua kujilipua , liwalo na liwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…