ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Potelea mbaliTFF Wanapasha Mboga Nyingine Ya Manara Ajiandae Kula Na Ugali
SASA HIVI Atafungiwa Milele
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Potelea mbaliTFF Wanapasha Mboga Nyingine Ya Manara Ajiandae Kula Na Ugali
SASA HIVI Atafungiwa Milele
Ndio ameshajiusisha na mambo ya soka tuone mtamfanya nini nyie makolo fcBado sijaelewa hili jambo , ilidaiwa Manara kafungiwa asishiriki shughuli za Soka za ndani na nje ya nchi kwa miaka miwili , sasa leo kaonekana kwenye tamasha la Yanga , KWA KISINGIZIO CHA MC WA KUKODIWA , na baada ya kumaliza kuwatambulisha wachezaji wa Yanga , Manara amedai kwamba hajihusishi na soka na anaondoka kwenda huko Kigogo kufanya shughuli zake za UMC kwenye harusi .
Hili jambo limekaaje jamani ?
Mkuu tff ndy inasimamia Mpira wa bongo..tusisahau hilo,ameidharau taasisiShughuli siyo ya TFF, na sidhani kama Yanga wameomba kibali TFF kufanya shughuli Yao ya kutambulisha wachezaji, watakuwa wamewafuata DRFA kwa ajili ya mechi ya saa 1 Usiku!!!
====
Ni mwendo wa kuvurugana tu hakuna namna!
Yanga ni mwanachama wa TFFShughuli siyo ya TFF, na sidhani kama Yanga wameomba kibali TFF kufanya shughuli Yao ya kutambulisha wachezaji, watakuwa wamewafuata DRFA kwa ajili ya mechi ya saa 1 Usiku!!!
====
Ni mwendo wa kuvurugana tu hakuna namna!
Leo mtalala na viatu.Bado sijaelewa hili jambo , ilidaiwa Manara kafungiwa asishiriki shughuli za Soka za ndani na nje ya nchi kwa miaka miwili , sasa leo kaonekana kwenye tamasha la Yanga , KWA KISINGIZIO CHA MC WA KUKODIWA , na baada ya kumaliza kuwatambulisha wachezaji wa Yanga , Manara amedai kwamba hajihusishi na soka na anaondoka kwenda huko Kigogo kufanya shughuli zake za UMC kwenye harusi .
Hili jambo limekaaje jamani ?
Kesi ya mpira haiendi mahakama za kiraia, labda iwe rushwaTFF ni upuuzi tuu, na sheria zake haziwezi kuzidi sheria za jamhuri, Manara inabidi uyashtaki hayo majitu ya TFF
Hahha, rangi zako halisi zimeonekana hatimayeLeo mtalala na viatu.
Bangi siyo nzuriBado sijaelewa hili jambo , ilidaiwa Manara kafungiwa asishiriki shughuli za Soka za ndani na nje ya nchi kwa miaka miwili , sasa leo kaonekana kwenye tamasha la Yanga , KWA KISINGIZIO CHA MC WA KUKODIWA , na baada ya kumaliza kuwatambulisha wachezaji wa Yanga , Manara amedai kwamba hajihusishi na soka na anaondoka kwenda huko Kigogo kufanya shughuli zake za UMC kwenye harusi .
Hili jambo limekaaje jamani ?
Unajua ulichokiandika au ? Ina maana TFF haina taarifa ya tukio Hilo.?.elewa pia imelikwa timu ya nchi jirani unadhani wamekuja tu kama wanakuja kumsalimia mjomba wao...unajua criteria za FIFA kwa friendly mechi ...YANGA ni mwanachama wa TFF either anafanya jambo Lililo kwenye kalenda au laa, msimamizi wake ni TFFShughuli siyo ya TFF, na sidhani kama Yanga wameomba kibali TFF kufanya shughuli Yao ya kutambulisha wachezaji, watakuwa wamewafuata DRFA kwa ajili ya mechi ya saa 1 Usiku!!!
====
Ni mwendo wa kuvurugana tu hakuna namna!