Tafuta Hela
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 1,546
- 2,983
Waambie tff watoe hukumu ili mipaka yake ijulikane otherwise achana na hizo hukumu za kimchongoItambulike, kufungiwa kujihusisha na shughuli za mpira ni mapana sana, huyu Manara anaonekana kweli ni gangster, hajui lolote.
Hapa uwe mpira wa mashindano, bonanza kama hilo la Yanga SC, au mechi nyingine ya kirafiki, hizi zote ni shughuli za mpira ambazo alifungiwa.
Aidha, neno "shughuli" lina tafsiri nyingi, inaweza kuwa MC wa shughuli za mpira, refa wa mechi, daktari wa timu, nk
Hayo yote Manara alishafungiwa, inaonekana hata taasisi ya Yanga SC haina wajuvi wa sheria, wanamuacha tu huyo kichaa wao azidi kuwaharibia, wasishindane na mamlaka.
Watoe hukumu mara ngapi? kunywa maji mengi utulie.Waambie tff watoe hukumu ili mipaka yake ijulikane otherwise achana na hizo hukumu za kimchongo
Bandia hukumu hapa iliyochapishwa!!??Watoe hukumu mara ngapi? kunywa maji mengi utulie.
Limekaa vizuri tu. Amefungiwa kujihusisha na michezo. Hajafungiwa kunishughulisha na shughuli zake za kumuingizia kipato, ikiwemo hiyo ya U MC!Bado sijaelewa hili jambo , ilidaiwa Manara kafungiwa asishiriki shughuli za Soka za ndani na nje ya nchi kwa miaka miwili , sasa leo kaonekana kwenye tamasha la Yanga , KWA KISINGIZIO CHA MC WA KUKODIWA , na baada ya kumaliza kuwatambulisha wachezaji wa Yanga , Manara amedai kwamba hajihusishi na soka na anaondoka kwenda huko Kigogo kufanya shughuli zake za UMC kwenye harusi .
Hili jambo limekaaje jamani ?
Kwa hiyo ukifungiwa na hiyo TFF iliyokaa kisiasa, ndiyo unatakiwa pia kufunguwa nyumbani kwako? Yaani hutakiwi kujitafutia kipato kwa njia halali!Hapa Yanga wakiadhibiwa na TFF watasema wameonewa. Ki ukweli Yanga ni kubwa zaidi akili na jina la Manara. Kuna haja ya viongozi wa timu kutoingiza timu kwenye migogoro na mamlaka za soka na michezo kwa cheaper reasoning eti, 'mc'
Huu ni ukaidi, ipo siku Manara atamshika 'kalio' hadharani Injinia Hersi au Ghalib Said ndio wataona faida ya adhabu ya TFF.
Bandia ndio nini tena? kunywa maji mengi wewe utulize pressure hiyo.Bandia hukumu hapa iliyochapishwa!!??
acha fujo ww vitu usivyovijua unatakiwa ukae kimya kama paka anayesubiri kiporo!
Kwani huo u MC wake hajaufanyia kwenye shughuli ya mpira?Limekaa vizuri tu. Amefungiwa kujihusisha na michezo. Hajafungiwa kunishughulisha na shughuli zake za kumuingizia kipato, ikiwemo hiyo ya U MC!
Kama hujui unaweza kujambaBado sijaelewa hili jambo , ilidaiwa Manara kafungiwa asishiriki shughuli za Soka za ndani na nje ya nchi kwa miaka miwili , sasa leo kaonekana kwenye tamasha la Yanga , KWA KISINGIZIO CHA MC WA KUKODIWA , na baada ya kumaliza kuwatambulisha wachezaji wa Yanga , Manara amedai kwamba hajihusishi na soka na anaondoka kwenda huko Kigogo kufanya shughuli zake za UMC kwenye harusi .
Hili jambo limekaaje jamani ?
Hii ndiyo dawaa ya kutoa adhabu kwa mihemko. Ingekuwa ni adhabu inayokidhi viwango, naamini hiyu mropokaji, angeiheshimu.Wewe nani hadi udai mkataba?
Mmechanganyikiwa yeye kaja kama mc tu.😂
Unapenda ligi.....Manara anawaumiza sana poleniBandia ndio nini tena? kunywa maji mengi wewe utulize pressure hiyo.
TFF haina mamlaka ya kumzuia mtu kujitafutia kipato chake. Ameshasema amekuja kama MC, na aliaga kuondoka.Kwani huo u MC wake hajaufanyia kwenye shughuli ya mpira?
Utopolo mbona kazi mnayo.
Thus why Karia, Rais Mjinga wa TFF kakimbia Leo na kujifanya yuko bize huko A. Town...Bado sijaelewa hili jambo , ilidaiwa Manara kafungiwa asishiriki shughuli za Soka za ndani na nje ya nchi kwa miaka miwili , sasa leo kaonekana kwenye tamasha la Yanga , KWA KISINGIZIO CHA MC WA KUKODIWA , na baada ya kumaliza kuwatambulisha wachezaji wa Yanga , Manara amedai kwamba hajihusishi na soka na anaondoka kwenda huko Kigogo kufanya shughuli zake za UMC kwenye harusi .
Hili jambo limekaaje jamani ?
Huyo karia ni mjinga sanaBado sijaelewa hili jambo , ilidaiwa Manara kafungiwa asishiriki shughuli za Soka za ndani na nje ya nchi kwa miaka miwili , sasa leo kaonekana kwenye tamasha la Yanga , KWA KISINGIZIO CHA MC WA KUKODIWA , na baada ya kumaliza kuwatambulisha wachezaji wa Yanga , Manara amedai kwamba hajihusishi na soka na anaondoka kwenda huko Kigogo kufanya shughuli zake za UMC kwenye harusi .
Hili jambo limekaaje jamani ?
Unaumia?Bado sijaelewa hili jambo , ilidaiwa Manara kafungiwa asishiriki shughuli za Soka za ndani na nje ya nchi kwa miaka miwili , sasa leo kaonekana kwenye tamasha la Yanga , KWA KISINGIZIO CHA MC WA KUKODIWA , na baada ya kumaliza kuwatambulisha wachezaji wa Yanga , Manara amedai kwamba hajihusishi na soka na anaondoka kwenda huko Kigogo kufanya shughuli zake za UMC kwenye harusi .
Hili jambo limekaaje jamani ?
Mbona hujibu swali, ule u "MC" wake leo pale uwanjani, haukuwa kwenye shughuli ya mpira?TFF haina mamlaka ya kumzuia mtu kujitafutia kipato chake. Ameshasema amekuja kama MC, na aliaga kuondoka.