Hata kama ni MC wa kukodi, kwanini akodiwe mtu aliyefungiwa?

Itambulike, kufungiwa kujihusisha na shughuli za mpira ni mapana sana, huyu Manara anaonekana kweli ni gangster, hajui lolote.

Hapa uwe mpira wa mashindano, bonanza kama hilo la Yanga SC, au mechi nyingine ya kirafiki, hizi zote ni shughuli za mpira ambazo alifungiwa.

Aidha, neno "shughuli" lina tafsiri nyingi, inaweza kuwa MC wa shughuli za mpira, refa wa mechi, daktari wa timu, nk

Hayo yote Manara alishafungiwa, inaonekana hata taasisi ya Yanga SC haina wajuvi wa sheria, wanamuacha tu huyo kichaa wao azidi kuwaharibia, wasishindane na mamlaka.
Waambie tff watoe hukumu ili mipaka yake ijulikane otherwise achana na hizo hukumu za kimchongo
 
Hii ndio bongo bna, mtabonga sana lakini ndo ishakua.

Sio strategy nzuri lakini ndiyo nchi yetu.
 
Bado sijaelewa hili jambo , ilidaiwa Manara kafungiwa asishiriki shughuli za Soka za ndani na nje ya nchi kwa miaka miwili , sasa leo kaonekana kwenye tamasha la Yanga , KWA KISINGIZIO CHA MC WA KUKODIWA , na baada ya kumaliza kuwatambulisha wachezaji wa Yanga , Manara amedai kwamba hajihusishi na soka na anaondoka kwenda huko Kigogo kufanya shughuli zake za UMC kwenye harusi .

Hili jambo limekaaje jamani ?
Limekaa vizuri tu. Amefungiwa kujihusisha na michezo. Hajafungiwa kunishughulisha na shughuli zake za kumuingizia kipato, ikiwemo hiyo ya U MC!
 
Chizi hili ,so kama amepewa kazi ya u MC asifanye?
 
Hapa Yanga wakiadhibiwa na TFF watasema wameonewa. Ki ukweli Yanga ni kubwa zaidi akili na jina la Manara. Kuna haja ya viongozi wa timu kutoingiza timu kwenye migogoro na mamlaka za soka na michezo kwa cheaper reasoning eti, 'mc'

Huu ni ukaidi, ipo siku Manara atamshika 'kalio' hadharani Injinia Hersi au Ghalib Said ndio wataona faida ya adhabu ya TFF.
Kwa hiyo ukifungiwa na hiyo TFF iliyokaa kisiasa, ndiyo unatakiwa pia kufunguwa nyumbani kwako? Yaani hutakiwi kujitafutia kipato kwa njia halali!

Tutaona hao TFF kama watakuwa na jeuri ya kutoa adhabu juu ya adhabu.
 
Limekaa vizuri tu. Amefungiwa kujihusisha na michezo. Hajafungiwa kunishughulisha na shughuli zake za kumuingizia kipato, ikiwemo hiyo ya U MC!
Kwani huo u MC wake hajaufanyia kwenye shughuli ya mpira?

Utopolo mbona kazi mnayo.
 
Bado sijaelewa hili jambo , ilidaiwa Manara kafungiwa asishiriki shughuli za Soka za ndani na nje ya nchi kwa miaka miwili , sasa leo kaonekana kwenye tamasha la Yanga , KWA KISINGIZIO CHA MC WA KUKODIWA , na baada ya kumaliza kuwatambulisha wachezaji wa Yanga , Manara amedai kwamba hajihusishi na soka na anaondoka kwenda huko Kigogo kufanya shughuli zake za UMC kwenye harusi .

Hili jambo limekaaje jamani ?
Kama hujui unaweza kujamba
 
Wewe nani hadi udai mkataba?

Mmechanganyikiwa yeye kaja kama mc tu.😂
Hii ndiyo dawaa ya kutoa adhabu kwa mihemko. Ingekuwa ni adhabu inayokidhi viwango, naamini hiyu mropokaji, angeiheshimu.

Ila kwa bahati mbaya ndiyo hivyo tena! Anaamini ameadhibiwa kwa mihemko, hivyo aendelee tu kuwavuruga akili zao.
 
Kwani huo u MC wake hajaufanyia kwenye shughuli ya mpira?

Utopolo mbona kazi mnayo.
TFF haina mamlaka ya kumzuia mtu kujitafutia kipato chake. Ameshasema amekuja kama MC, na aliaga kuondoka.
 
Bado sijaelewa hili jambo , ilidaiwa Manara kafungiwa asishiriki shughuli za Soka za ndani na nje ya nchi kwa miaka miwili , sasa leo kaonekana kwenye tamasha la Yanga , KWA KISINGIZIO CHA MC WA KUKODIWA , na baada ya kumaliza kuwatambulisha wachezaji wa Yanga , Manara amedai kwamba hajihusishi na soka na anaondoka kwenda huko Kigogo kufanya shughuli zake za UMC kwenye harusi .

Hili jambo limekaaje jamani ?
Thus why Karia, Rais Mjinga wa TFF kakimbia Leo na kujifanya yuko bize huko A. Town...

Yanga ni Dubwana Kubwa....Ndg. Kinana anajua....
 
Sasa mnataka aendeshe vip Maisha ? Upumbavu haufai muachane Manala
 
Bado sijaelewa hili jambo , ilidaiwa Manara kafungiwa asishiriki shughuli za Soka za ndani na nje ya nchi kwa miaka miwili , sasa leo kaonekana kwenye tamasha la Yanga , KWA KISINGIZIO CHA MC WA KUKODIWA , na baada ya kumaliza kuwatambulisha wachezaji wa Yanga , Manara amedai kwamba hajihusishi na soka na anaondoka kwenda huko Kigogo kufanya shughuli zake za UMC kwenye harusi .

Hili jambo limekaaje jamani ?
Huyo karia ni mjinga sana
 
Unaumia?
 
TFF haina mamlaka ya kumzuia mtu kujitafutia kipato chake. Ameshasema amekuja kama MC, na aliaga kuondoka.
Mbona hujibu swali, ule u "MC" wake leo pale uwanjani, haukuwa kwenye shughuli ya mpira?

Hapa usilete huruma ya kipato, suala la kipato kama vipi akauze magodoro ya GSM, ila sio kwenye shughuli ya mpira.
 
Back
Top Bottom