Hata kama ni mtangazaji wa udaku, this is too much soudy brown

Akili za kuambiwa....lkn pia hawa ni watu wa sanaa wote..acha movie iendelee
 
Hii kali ya mjini tena team zari hapo sikio juu
 
Wema hakuwa na mimba,Na yeye ndo anachonga atokeje msilaumu mwandishi.
 
huu ni uongo! wema hajawahi kuwa na mimba! ni mtu wa kutafta kick ili watu wapay attention on her!, nimewatonya hiyo, COOKED!!! STAY TUNED! KWA UBUYUUU!...
Anayo teh ina miezi mitatu, na siku nne ha ha ha
 
Kasema atoke hospitali salama wema hayupo hospitali yupo insta anapost lipstick
Unajua nimecheka sana ulipo sema yupo insta ana post liplist....! Pengine kuna mtu hu control account yake!

Kwenye tasnia kuna tatizo la watu kutojua kuchora mistari au kujifunza mipaka...
 
Huyu soudy ndo yule wa clouds anayevaa mask? Jamaa ana za kike sana.
jamaa umbea ndo kazi inayompa kula...
so watu hawatakiwi kumchukia,coz yupo kazini...
sema kingine jamaa ameGUSA sehemu ambayo hakutakiwa kuTOUCH...
hayo mambo angemfanyia mtu kama Kajala wala usingeona MAPOVU yakiwatoka watu..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…