Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu soudy ndo yule wa clouds anayevaa mask? Jamaa ana za kike sana.
Viazi ndo niniHuyo jamaa huwa ni viazi.
yapo blurryUmesoma caption? Maneno chini ya picha?
Mzee wa INASEMEKANA ETI......a.k.a makorokocho!
Wewe rahabu inamaana unaishi pluto mpaka hujui viazi nini?Viazi ndo nini
HahahahhaWewe rahabu inamaana unaishi pluto mpaka hujui viazi nini?
Anayo teh ina miezi mitatu, na siku nne ha ha hahuu ni uongo! wema hajawahi kuwa na mimba! ni mtu wa kutafta kick ili watu wapay attention on her!, nimewatonya hiyo, COOKED!!! STAY TUNED! KWA UBUYUUU!...
Wanagonga cheers instagram tehHii kali ya mjini tena team zari hapo sikio juu
Ya idris! hakuna mimba pale! time will tell hah!Anayo teh ina miezi mitatu, na siku nne ha ha ha
Hahaha muonee!!!Hahahahha
Unajua nimecheka sana ulipo sema yupo insta ana post liplist....! Pengine kuna mtu hu control account yake!Kasema atoke hospitali salama wema hayupo hospitali yupo insta anapost lipstick
Dada Tifah...Picha ndio imefunguka sasa,mhhhhhhhh huu ni umbea mpya mujini.
Au ni movie inataka kutoka?Huyo Soudy nae anatafuta kick tu
Ndio nani mwenye sura kama anajisaidia baada ya kula mapera
jamaa umbea ndo kazi inayompa kula...Huyu soudy ndo yule wa clouds anayevaa mask? Jamaa ana za kike sana.