Hata kama ni mtangazaji wa udaku, this is too much soudy brown

Kama ni kutafuta kiki huku kumezidi jamani khaaaaaa , na mashabiki wa huyu dada kweli wanajiweza, kila mlio wa ngoma wanaucheza accordingly! Job true true. Cc. Evelyn Salt upo weye. Kuna wadau siwaoni jamani akina Dina , Kimbley, Heaven on Earth au wamebadili Id's?
 
Picha ndio imefunguka sasa,mhhhhhhhh huu ni umbea mpya mujini.
Au ni movie inataka kutoka?Huyo Soudy nae anatafuta kick tu
Nakumbuka alipost pia juu ya range ya madam kukamatwa na TRA pia hatukuamin hadi juzi ilipojulikana ni kweli, tusubiri muda utazungumza tu
 
Unajua nimecheka sana ulipo sema yupo insta ana post liplist....! Pengine kuna mtu hu control account yake!

Kwenye tasnia kuna tatizo la watu kutojua kuchora mistari au kujifunza mipaka...
Kwanza kamuona insta? [emoji1] [emoji1] ushabiki maandazi unafanya uwezo wetu wa kufikiri kuwa butu
 
Duh dunia kigeugeu na wa-Tz tumewehuka na social networks
1.Wapo wanaoomba Wema awe na mimba na apate mtoto salama
2.Wapo wanaoumia hata kusikia Wema ana mimba inawakera hasaaa na wanatamani iwe uongo kesho wafurahi
3.Wapo ambao kama mimba ipo basi Wema asipate bahati ya kubeba kichanga chake yamkute iwe leo au kesho.
Usiniulize wanaomchukia kawakosea nini au wanaompenda kawapa ni uwendawazimu tu wa mitandao ya kijamii na ukosefu wetu wa kazi na tuna amini masaa 24 ni mengi sana acha tumchukie tu tupunguze masaa kweli Wema k******** ko.
 
Nimeuskiza wimbo wala sio mbaya mambo ya kawaida sana sema hatujayazoea,Ney ameshika sana kwa staili yake
 
eti inasemekana mimba ake ime......ka....kuna charts zake zinasambaa insta alikuwa anamwambia mtu anaitwa sasha kuwa mimba ake imetoka na ilikuwa mapacha so asiwaambie watu kwanza....mi nimeiona kwa mtu anajiita tunda hukooo insta....Pole wema kama ni Kweli
 
nasikia mimba imetoka,jaman nilijua tu mimba ya wema haifikag hata miez sita inatoka, kweli huyu dada kiboko kwa ku fake mimba
 
Mimba imetoka kwasababu karogwa na Diamond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…