Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,056
Ha ha ha ha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndio nani mwenye sura kama anajisaidia baada ya kula mapera
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha ha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndio nani mwenye sura kama anajisaidia baada ya kula mapera
Nakumbuka alipost pia juu ya range ya madam kukamatwa na TRA pia hatukuamin hadi juzi ilipojulikana ni kweli, tusubiri muda utazungumza tuPicha ndio imefunguka sasa,mhhhhhhhh huu ni umbea mpya mujini.
Au ni movie inataka kutoka?Huyo Soudy nae anatafuta kick tu
mbona sisi wadaku hatujaionaNdio alichomaanisha
Kwanza kamuona insta? [emoji1] [emoji1] ushabiki maandazi unafanya uwezo wetu wa kufikiri kuwa butuUnajua nimecheka sana ulipo sema yupo insta ana post liplist....! Pengine kuna mtu hu control account yake!
Kwenye tasnia kuna tatizo la watu kutojua kuchora mistari au kujifunza mipaka...
Nawe una tofauti gani na sisi?Dada Tifah...
tukiacha jinsia...
wewe na Soudy mna tofauti gani..!?
#natania tu
SAWA...Nawe una tofauti gani na sisi?
Kuna mbea kama wewe?
ana swaga za kijinga.Huyu soudy ndo yule wa clouds anayevaa mask? Jamaa ana za kike sana.
Soudy brown kwenye instagram yake kapost picha ya wema kaandika "pole dada wema sepetu, mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu akupe moyo wa uvumilivu pia ili utoke hospitali ukiwa salama, inshallah kazi yake Mola haina makosa"
Kisha akaweka na hashtag #INASEMEKANAETI
Hahaaaa.....Utaelewa tu
nasikia mimba imetoka,jaman nilijua tu mimba ya wema haifikag hata miez sita inatoka, kweli huyu dada kiboko kwa ku fake mimbaKama ni kutafuta kiki huku kumezidi jamani khaaaaaa , na mashabiki wa huyu dada kweli wanajiweza, kila mlio wa ngoma wanaucheza accordingly! Job true true. Cc. Evelyn Salt upo weye. Kuna wadau siwaoni jamani akina Dina , Kimbley, Heaven on Earth au wamebadili Id's?
mimba ya shoga ako imetokaNawe una tofauti gani na sisi?
Kuna mbea kama wewe?
Duuuh uko vizuri kiuspy.comAnayo teh ina miezi mitatu, na siku nne ha ha ha