Hata kama ni mtangazaji wa udaku, this is too much soudy brown

Nakumbuka alipost pia juu ya range ya madam kukamatwa na TRA pia hatukuamin hadi juzi ilipojulikana ni kweli, tusubiri muda utazungumza tu
Ha ha ha nlicheka kuna mdau alipiga picha ya ila document kwa karibu sana gari ikiwa tra akatupia instagram
 
Kwanza kamuona insta? [emoji1] [emoji1] ushabiki maandazi unafanya uwezo wetu wa kufikiri kuwa butu
Laiti Ungejua usingeshupaa, muda soudy ana post hiyo account ya wema ilikua active ana post pia ndio nlichomaanisha
 
Hapo anamaansha hivii...Wema haendan na muonekano wa kla cku pnd anapokua kwny 'nyago sell'!
 
Daaaah inauma sana.
Mpaka sasa sijajua ukweli ni upi ila Wema nae mipombe mikali kutwa anazurura na mimba changa itaacha kutoka?
Asipojifunza tena kwa hii basi tena.
My dia, hivi Ni Kweli unaamini huyu Dada alikua mjamzito?? Mimi sijawahi kuamini hivyo,
 
Jamani alie na umbea WA mange arushe hapa,na recho temu insta kutamujeeee
 
si nilisema mimi...kwa sauti ya yule mbaba wa tangazo la hakielimu!
 
Saa 10 kasoro shosti angu?
Unyumba kwa mpenzi wako wautoa saa ngapi?
Anyway, kwanini Soud anapenda kuvaa Mask, au analindwa na kutafutwa?
Mpenzi kasafiri nlimmiss mida hiyo usingizi ukakata.....
Sijui kwanini anavaa mask mi hata sura yake siijui eti
 
Daaaah inauma sana.
Mpaka sasa sijajua ukweli ni upi ila Wema nae mipombe mikali kutwa anazurura na mimba changa itaacha kutoka?
Asipojifunza tena kwa hii basi tena.
Na kuwapa watu washike shike tumbo hivi anadhani kila anaecheka analifurahia? Gadna kalishika, bikra wa kisukuma, ommy dimpoz hao wote tayari teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…