Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dina yupo My hubby, Heaven on Earth sijsmuona muda na KimbleyKama ni kutafuta kiki huku kumezidi jamani khaaaaaa , na mashabiki wa huyu dada kweli wanajiweza, kila mlio wa ngoma wanaucheza accordingly! Job true true. Cc. Evelyn Salt upo weye. Kuna wadau siwaoni jamani akina Dina , Kimbley, Heaven on Earth au wamebadili Id's?
Ha ha ha nlicheka kuna mdau alipiga picha ya ila document kwa karibu sana gari ikiwa tra akatupia instagramNakumbuka alipost pia juu ya range ya madam kukamatwa na TRA pia hatukuamin hadi juzi ilipojulikana ni kweli, tusubiri muda utazungumza tu
Laiti Ungejua usingeshupaa, muda soudy ana post hiyo account ya wema ilikua active ana post pia ndio nlichomaanishaKwanza kamuona insta? [emoji1] [emoji1] ushabiki maandazi unafanya uwezo wetu wa kufikiri kuwa butu
Sijui nay wa mitego katumbua jipu 🙄nasikia mimba imetoka,jaman nilijua tu mimba ya wema haifikag hata miez sita inatoka, kweli huyu dada kiboko kwa ku fake mimba
Ila jana Wema alikuepo Agakhan Hospital.nasikia mimba imetoka,jaman nilijua tu mimba ya wema haifikag hata miez sita inatoka, kweli huyu dada kiboko kwa ku fake mimba
mimba ya shoga ako imetoka
Daaaah inauma sana.Eeeh makubwa kumbe mambo yapo serious
Nifah soudy kaweka na ushahidi
Saa 10 kasoro shosti angu?
My dia, hivi Ni Kweli unaamini huyu Dada alikua mjamzito?? Mimi sijawahi kuamini hivyo,Daaaah inauma sana.
Mpaka sasa sijajua ukweli ni upi ila Wema nae mipombe mikali kutwa anazurura na mimba changa itaacha kutoka?
Asipojifunza tena kwa hii basi tena.
Teh afu wewe husomeki unafata uelekeo wa upepoMimi nawaambieni hii ni Tamthiliya....season 1episode 39
Mpenzi kasafiri nlimmiss mida hiyo usingizi ukakata.....Saa 10 kasoro shosti angu?
Unyumba kwa mpenzi wako wautoa saa ngapi?
Anyway, kwanini Soud anapenda kuvaa Mask, au analindwa na kutafutwa?
Na kuwapa watu washike shike tumbo hivi anadhani kila anaecheka analifurahia? Gadna kalishika, bikra wa kisukuma, ommy dimpoz hao wote tayari tehDaaaah inauma sana.
Mpaka sasa sijajua ukweli ni upi ila Wema nae mipombe mikali kutwa anazurura na mimba changa itaacha kutoka?
Asipojifunza tena kwa hii basi tena.
Leo saa saba kwenye xxl tutasikia ukweliIla jana Wema alikuepo Agakhan Hospital.