binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Shogaangu mbea nawe wewe haaahaa, Mange na Rachel kumekuchaJamani alie na umbea WA mange arushe hapa,na recho temu insta kutamujeeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shogaangu mbea nawe wewe haaahaa, Mange na Rachel kumekuchaJamani alie na umbea WA mange arushe hapa,na recho temu insta kutamujeeee
Shogaangu mbea nawe wewe haaahaa, Mange na Rachel kumekucha
Hahahahaaaaa na siku nikipewa utakoma...
Hahahahaaaaa na siku nikipewa utakoma...
Nafikiri kuna kitu kinaendelea japo watu hatutakk kuaminEeeh makubwa kumbe mambo yapo serious
Nifah soudy kaweka na ushahidi
Kwani Mange anatumia a/c gani insta?mange ashaniblock yaan natamani kufungua akaunt mpya insta hhaa
jaribu kuiupdate application yako ya jf...Hivi kumbe sio mimi tu! Mpaka nikawa natamani kuitupa hii cm kwakunifanyia kusudi lol
Dearest....My dia, hivi Ni Kweli unaamini huyu Dada alikua mjamzito?? Mimi sijawahi kuamini hivyo,
Poa, asante...jaribu kuiupdate application yako ya jf...
labda itakusaidia..!
Ngoja Tuone, Ney kasema Miezi 9 sio mingi, hii sio siasa kusema tusubiri mpaka 2020.. Time will tell.Dearest....
Take it from me,Wema ako na mimba.
Si ufungue? Mie nnazo kama kumi anaenoblock anajisumbua tu make ntamfollow tena ha ha hamange ashaniblock yaan natamani kufungua akaunt mpya insta hhaa
Si ufungue? Mie nnazo kama kumi anaenoblock anajisumbua tu make ntamfollow tena ha ha ha
Kwani Mange anatumia a/c gani insta?
Mimi nilisham unfollow tokea enzi za uchaguzi mkuu.
Napitwaje na umbea jamani?
Ngoja nikamsake Rachel
Mimi hata cjamuelewa
Tayari nimeshasoooma hadi nimechoka.anatumia mangekimambi_
yaan ngoja nifungue akaunt mpya napitwa mieee