Hata kama ninaowapenda wamekatwa majina yao, nitasimama na CCM hadi naingia kaburini

Soka Ndio Maisha Yangu

Senior Member
Joined
Nov 27, 2024
Posts
110
Reaction score
377
Mimi nimezaliwa babangu mzazi akiwa Katibu Tarafa, alikuwa akifanya kazi pale Shirika la Ugawaji la Taifa - KIUTA, enzi hizo magazeti ni Uhuru, Mfanyakazi, Daily News na Sunday News.Sasa hivi Mfanyakazi halipo.

Babangu ambaye ss hivi ni marehemu alikuwa kada lia lia wa CCM, hata hivyo amebakia mamangu mzazi ambaye naye ni CCM lia lia.

"Mwanangu mimi mwanao ni mzee ss hivi, nchi hii imetoka mbali sana, si mlikuwa mnamuona baba yenu enzi zile, sasa warithisheni watoto wenu itikadi za Chama cha Mapinduzi, vyama vingine hivi ni sanaa tu." mwisho wa kunukuu.

Mchakato wa majina kwa watia nia umeisha, sasa hivi kampeni na kura za maoni ndani ya chama, mimi wagombea wangu wote kuanzia ubunge hadi udiwani niliokuwa nawapenda sikuona majina yao, pengine kuna mambo mengi wanayo ambayo mimi siyajui, viongozi wetu washatuletea majina, kama kweli wewe unapenda chama na sio mtu, basi tusimame na CCM.

Ila kama wewe unasimama na mtu kama mlivyofanya kwa Lowassa basi nendeni, CCM ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo.

Nasimama na CCM, Nasimama na DKT Samia Suluhu Hassan, mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Makamu wake Dkt Emmanuel Nchimbi.Period
 
Kwanini unasimama na CCM hadi kaburini?
 
20250729_010133.jpg
 
Babangu ambaye ss hivi ni marehemu alikuwa kada lia lia wa CCM, hata hivyo amebakia mamangu mzazi ambaye naye ni CCM lia lia.
Wazazi wako ni wasindikizaji wana CCM wenye akili za maisha.

Na wewe endelea kusifia na kusindikiza wenzio. Mke na mtoto wa Kikwete wamepita bila kupingwa, Mwinyi na wadogo zake wanne wote wanagombea, Mizengo Pinda anawakilishwa na watoto wake 2 kwenye ugombea.

Wewe mtoto wa baba yako unaishia kuandika nyuzi JF kusifia wenzio.
 
Simama nayo hata chooni kama mfumo wako wa maisha unategemea bendera
 
Mbona kama una maumivu makali sana.
 
Wazazi wako ni wasindikizaji wana CCM wenye akili za maisha.

Na wewe endelea kusifia na kusindikiza wenzio. Mke na mtoto wa Kikwete wamepita bila kupingwa, Mwinyi na wadogo zake wanne wote wanagombea, Mizengo Pinda anawakilishwa na watoto wake 2 kwenye ugombea.

Wewe mtoto wa baba yako unaishia kuandika nyuzi JF kusifia wenzio.
Mkuu fanya ku ubold huu ukweli auone vizuri.
 
Back
Top Bottom