Hata kama Polepole na Musiba wana hoja za msingi hawawezi kuaminika

2019

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
3,232
Reaction score
4,927
Kwa wafuatiliaji wa siasa Polepole si mzalendo wala hawezi kuwa mwanaharakati.

Anayosema leo yameanza leo? Kutekwa watu, kupotezwa ndio mara ya kwanza?

Mbona kipindi cha Magufuli hakuongea haya? Eti Musiba Junior nae anaungana nae kweli?!! Mbona Watanzania tunakuwa watu wa kujisahau sana. Siungi mkono kinachoendelea lakini bado sijaona mwanaharakati na mzalendo Tanzania hii.

Magufuli kidogo ana nafuu lakini mwenyewe alikuwa na madhaifu yake. Wote wanokisea na kupigia serikali kelele changamoto ni ugali tu. Au ugali wake umeguswa au kunyimwa kabisa.
 
Nyie ccm yaani mmenyimwa akili hata kidogo? Mtu akipinga uchafu wa huyu mama mnasema haukuanza Leo. Ko ni halali kuuendeleza? Mbona Kama kuwa ccm ni laana sana?
 
CCM nani?
 
Back
Top Bottom