demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Upo mkakati wa kuhakikisha Cloutus Chota Chama anapewa kiasi chake cha pesa anachoidai Simba kutokana na Kuvunja mkataba wake na Berkane.
Ikumbukwe kuwa Simba SC walimpanga Chama kutumia pesa zake binafsi kuhakikisha anavunja mkataba wake na Berkane ili baadae aje kupewa pesa hizo katika installments tofauti tofauti.
Mapenzi ya dhati ya Chama akakubali na akaamua kutimiza dhamira ya Viongozi wake akijua kuwa hakuna jambo litakalo haribika na ukizingatia hakuwa akifurahishwa na Mazingira yake ya kazi huko Kaskazini mwa Afrika.
Viongozi wa Simba walidhani kuwa wangetumia pesa zao kuvunja mkataba wa Chama na Berkane basi wangeingiliwa keani walijua dhahiri kuwa Eng Hersi na timu yake walikiwa wamejiandaa kumkwapua kijana mara mkataba unapovunjwa.
Ahadi ya kulipwa pesa zake lilikuwa ni mpaka pale atakapo saini na Simba na kuanza kuitumikia klabu.
Miezi kadhaa baadae Klabu ikashindwa kutimiza ahadi yake ndipo Chama akaanza ku-skip session za mazoezi na kushinda kwenye ofisi za Mo Dewji akidai chake.
Pasi na Pablo kuwa na taarifa rasmi za kutokuwapo kwa Chama mazoezini, akaandika barua rasmi kuwa hatotaka kumuona mchezaji huyo mpaka atakapo andika barua ya kujieleza kwa utovu huo wa nidhamu.
Mpaka wakati huu Chama hajakamilishiwa malipo yake na wala hakuona sababu ya kuandika barua kwa Pablo kama alivyohitajika.
Chama amefungua mashtaka ya madai na sasa yuko Kwao.
Kwa haya yote yaliyotokea ndani ya klabu sioni jamaa akirudi kwenye ubora wake ukizingatia sio tu umri bali pia Pablo amekwisha pendekeza usajili wa mbadala wake.